Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Suluhu hapo ni UN kuligawa tu hilo eneo ili Mataifa mawili huru yatokee kama ilivyokuwa imependekezwa hapo awali. Yaani Taifa huru la Israel, na pia Taifa huru la Palestina.Sawa, Sasa niambie, hao Wayaud wakaishi wapi kama pale hawatakiwi? Tatizo ni Waarabu kutokutaka amani kwa kujiona wao ndiyo wenye haki ktk eneo lile, na mpango wao wa kutaka kuwaangamiza Waisrael wote. Hakutapatikana amani kama kila upande utashikilia msimamo wake.
Swala la mataifa ya magharibi kuwa upande wa Israel sioni tatizo kama ambavyo mataifa ya kiarabu na karibu Waislam wote kote duniani wapo upande wa Palestina.
Kinyume na hapo, watu wasio na hatia wataendelea kuuwawa.