Unaniuliza mimi kwani ndiye niliyewashawishi hao wananchi kuichagua hiyo Hamas kutawala Gaza!!Kwa nini hao raia waliichagua Hamas kuongoza Gaza?
Chanzo cha taarifa yako ni vyombo vya propoganda vya Waarabu bila shaka.Chanzo cha taarifa yako ni vyombo vya propaganda vya Marekani bila shaka.
Chanzo cha habari ni CNN bila shaka.Urusi imeua na kujeruhi zaidi ya watoto elfu moja wa Ukraine.
Hizi ni propoganda kutoka vyombo vya propoganda vya Kirusi.Putin haui watoto na akina mama kwa mabomu. Yeye anashambulia maghala ya silaha zinazoletwa Ukraine kutoka kwa wauzaji wa hizo silaha.
Zaidi ya hapo wanapambana wenyewe kwa wenyewe. Ni aghalabu kuona wanawake na watoto wakiuwawa kikatili kama wafanyavyo hao Mayahudi.
Kwa hiyo CNN ikisema wanajeshi wa Urusi walifanya mauaji baridi ya raia Bucha, Ukraine na pia wameua maelfu ya raia ni propoganda za magharibi ila CNN hao hao wakisema Israel imeua watoto gaza ni taarifa sahihi na sio propoganda?!Chanzo cha habari ni CNN bila shaka.
Wapalestina hawaanzishi uchokozi! Wachokozi ni hao Mayahudi waliowaondoa hao Wapalestina kwenye maeneo yao, na kuwageuza kuwa wakimbizi ndani ya maeneo waliyokuwa wanaishi kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.Hao watoto wanatakiwa kuwaondoa pale Hamas wanapoanzisha uchokozi dhidi ya Israel, ili jamaa wakianza kuwatandika, wasitumie kigezo cha kuua watoto, hao watoto simply wanauawa na ndugu zao wenyewe kwa uchokozi wao dhidi ya Israel.
Kuanzisha uchokozi halafu kwenda kujificha kwa watoto kama ngao dhidi ya mashambulizi, kunaonesha vile Hamas walivyo wajinga, wabinafsi, na makatili wasio na huruma hata kwa watu wao.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Wapi umesikia/umeona hiyo CNN ikiwaongelea watoto wa Kipalestina kuuwawa na hao Mayahudi?Kwa hiyo CNN ikisema wanajeshi wa Urusi walifanya mauaji baridi ya raia Bucha, Ukraine na pia wameua maelfu ya raia ni propoganda za magharibi ila CNN hao hao wakisema Israel imeua watoto gaza ni taarifa sahihi na sio propoganda?!
Akili za wapi hizi!
Mbona Urusi inapora maeneo ya Ukraine na kuwageuza raia wa Ukraine mateka na wakimbizi kwenye nchi yao??Wapalestina hawaanzishi uchokozi! Wachokozi ni hao Mayahudi waliowaondoa hao Wapalestina kwenye maeneo yao, na kuwageuza kuwa wakimbizi ndani ya maeneo waliyokuwa wanaishi kwa zaidi ya miaka 100 iliyopita.
Ni kwa sababu imeamua kuwapigania Wa ukraine wenye asili ya Urusi, na ambao kwa miaka nenda wamekuwa wakibaguliwa na kunyanyaswa kwa makusudi kabisa na baadhi ya watu wanaojiona ni Wa ukraine halisi.Mbona Urusi inapora maeneo ya Ukraine na kuwageuza raia wa Ukraine mateka na wakimbizi kwenye nchi yao??
Na Israel inawapigania, inawalinda na kuwatetea raia wake ambao wameteswa, wamebaguliwa na kufanyiwa holocaust na ugaidi kwa mamia ya miaka na binadamu wengine.Ni kwa sababu imeamua kuwapigania Wa ukraine wenye asili ya Urusi, na ambao kwa miaka nenda wamekuwa wakibaguliwa na kunyanyaswa kwa makusudi kabisa na baadhi ya watu wanaojiona ni Wa ukraine halisi.
Hii nayo ni hadithi....
Wayahudi Mussa aliowatoa Misri sio hawa wa sasa.
Yeah, nakuunga mkono sana.. ndomaana ukichunguza vifo vingi vitokanavyo na vita ya Ukraine ni wanajeshi raia wachache sana.
Lkn Israel haijamaliza hata siku 40 washakuja raia zaidi ya elfu kumi na mbili.
Inabidi nitoe samahani, Mayahudi nilisoma kwa haraka kuwa ni waarabu. Otherwise you are correctMayahudi ni majitu makatili tu. Na ndiyo maana hayaoni aibu kuua wanawake na watoto mchana kweupe kwa mabomu, kwa kigezo cha kushambuliwa na Hamas.
Hawa ni wale waliorudi wakati wa watawala wa British Empire baada ya vita na Ottoman. Hawa walikimbia Ulaya kurudi baada ya waingireza kuchukua sehemu ya ardhi/koloniWaliotolewa na Musa Wako Wapi?
Kiongozi wao anaitwa nani?
Taifa lako kwa sasa ni lipi?
Au maoni yako nayo ni hadithi
Ungetumia busara kidogo na kujiridhisha, angalia Wenye busara wanavyoandikaAdui akijificha kwa raia huku anakushambulia wewe utafanyaje?
Kama adui hajali watoto na wanawake wake wewe ndio utajali?
Kwani yale masquad yaliyotumwa tarehe 7/10 yangetua peacefully bila kuzuiliwa na iron domes yangechagua wa kuua? Je yalielekezwa kambi za jeshi au ikulu?Mayahudi ni majitu makatili tu. Na ndiyo maana hayaoni aibu kuua wanawake na watoto mchana kweupe kwa mabomu, kwa kigezo cha kushambuliwa na Hamas.
Lakini kumbuka na wao kwa siku moja wangetekea wote bila msaada wa iron domes.Na hii hesabu ni Kwa miaka miwili pamoja na mashambulizi makubwa sana tunayoyaona pale, lkn Israel siku 30 washakuja zaidi ya raia 12 elfu.
Your comment plz
Whataboutism !!Mbona Urusi inapora maeneo ya Ukraine na kuwageuza raia wa Ukraine mateka na wakimbizi kwenye nchi yao??