Mimi Mwarabu na sielewi kwanini ulimwengu hauwezi kukubali maumivu ya Kiyahudi

Muaraba yuko mkristo, yuko mpagani pia.
Na muarabu pia hujifunza Quran...wako Waafrika wanafundisha waarabu Quran.
Hiyo Quran imeandikwa kigogo mkuu.
Nipo kariakoo hapa na wamatumbi wezangu wanasali kwa kiarabu na sio kimatumbi.
NB: HUWEZI KUTENGANISHA UARABU NA UISLAMU
 
Lugha...kumbe tatizo ni lugha🤣🤣
Mfano somo la biology limeandikwa kiingereza, anaejua kiingereza atalijua??
Mpaka asome...Quran ni ELIMU ila inetumia lugha..
Mkuu kila kitu katika uislamu kimeasisiwa kiarabu.
Au na hili unakataa.
Mpaka majina ya waislamu wanachukua majina ya kiarabu.
Na sio ya kimatumbi
 
Lugha...kumbe tatizo ni lugha🤣🤣
Mfano somo la biology limeandikwa kiingereza, anaejua kiingereza atalijua??
Mpaka asome...Quran ni ELIMU ila imetumia lugha..ukiondoa waarabu wote, uislam utakuwepo.
Qur'an sio elimu bali ni hadithi za mapokeo ya adithi za kale za kufikirika na za utamaduni wa kiarabu.
Mkuu.
Labda kama elimu ya kuwachukia wakrsto na wayahudi.
Qur'an 9:30.
Qur'an 8:12
 
Una hoja mkuu...ila kwanini wapalestina walikataa kuunda taifa lao pembeni ya Israel kabla ya mwaka 1967?.....

au labda walihofia Israel ingejitanua tu bila kujali mipaka yao ?..... ila walijikita kupigana kuifuta Israel badala yake wamepoteza hata kile kidogo walichoachiwa.

zitto junior Mathanzua Bams
 
Ila tambua Christianity chanzo chake ni Jewish religion.....tena Christianity imeanza miaka mingi sana kabla ya Islamic.

Ila tu Christianity ilipigwa Vita Sana na Wayahudi hapo mwanzo hivyo ikaletwa kwa wasio Wayahudi na wakaipokea na tangu hapo ikasambaa kwa njia nyingi.

hata watawala wa Kirumi baadae waliingia huko (japo mwanzo waliipinga sana hata kuua wahubiri wa mwanzo wa kikristo) ila baadae walijiunga huko kwa malengo yao ya kisiasa na kuieneza kwa njia ya umwagaji damu.

zitto junior Mathanzua
 
Mkuu kuhusu disapora wa Morocco umetudanganya kipropaganda,labda ungesema minorty Jew's in arab country's.
Na disapora wa Iran,,ni mateka wa kisiasa hawawezi kutoka nje ya nchi na ni wananchi wa daraja la mwisho Iran.
NA HAKUNA ARAB JEW'S BUT DISAPORA JEW'S IN ARABS COUNTRIES.
BALI KUNA ARABS WALIOCHUKUA URAIA WA ISRAEL NA WATABAKI KUA WAARABU TU.
JEW'S ARE JEW'S POPOTE WALIPO.
 
Suluhu hapo ni UN kuligawa tu hilo eneo ili Mataifa mawili huru yatokee kama ilivyokuwa imependekezwa hapo awali. Yaani Taifa huru la Israel, na pia Taifa huru la Palestina.

Kinyume na hapo, watu wasio na hatia wataendelea kuuwawa.
Hilo liliamuliwa toka kitambo sana, ila wapalestina walikataa kabisa wakajikita kupambana kuifuta Israel, hili limewagharimu mpaka leo.
 
Mkuu jew,s hawafanani na waislamu.
Mungu wa wayahudi yehova ni tofauti kabisa na mungu wa waarabu na waislamu allah.
Soma
Qur'an 9:30
Qur'an 8:12.
Tatizo la waislamu ni kutaka kuifluence dini za kikrsto ns kiyahudi kwa kutumia mbinu zoote za vita na propaganda
 
Abrahamic religion zote msingi wake ni tales za Middle East, tofauti yao ni kwenye ku formalise tu hivyo vitabu nani kaanza.

Christianity ya maeneo hayo na Christianity aliyoisambaza Constantine in the west tofauti kabisa kwenye kufanya ibada.

Ni hivi religious discussion not my cup of tea, mpaka pale unaposoma mada kama hizi mtu anaandika waarabu sijui hivi na vile wakati hajui zaidi ya 20% ya Jews wanaoishi Israel ni waarabu. Hajui nchi zote za Middle East kabla ya kuundwa kwa modem Israël kulikuwa na pockets za Jews na Christian communities, na zipo mpaka leo tena wapo safe and proud.

Hata huyo hasimu mkubwa wa Israël, Iran kuna Jews community and proud Iranians and feel safe; Christian’s ndani ya Iran ni karibu 1 million.

👋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…