cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sadaka mshatoa au mnachonga tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sadaka mshatoa au mnachonga tu?
Mdogo wangu coca mfikishie ujumbe huyo joanya aache kunifatilia makalion[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakika😂Anyways...Mungu wetu ni mwingi wa huruma na mwenye kusamehe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada kwan mbna ugomvi gani nyie?Mdogo wangu coca mfikishie ujumbe huyo joanya aache kunifatilia makalion
Nishamwambia sitaki shobo naye
Mimi Sina mbo...ohh useme nitamkaza
Aheshimu mipaka
Pia sio msagaj useme ntamblendah
DuuuhUnataka kufungua kanisa na ombaomba anayeshinda jf kutafuta mabwana wa kumtumia buku la vocha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unafel wapi bwashee
Huyo ni mwajuma ndalandefu
Hana maisha[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MC wa buree kamkosaa, ngoja akapigwe 7M na Ma MC uchwaraaa.Baba mchungaji ana gubu ndugu wa kikeni katunyima mwaliko hata sijapentraaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hajui km sisi tukipika majungu mke hapati we mwache ajifarague hatujui wazaramo tuna nongwa [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee shem sisi passport tushaandaa, vipi trip enyewe lini?Nimeoteshwa na Roho Mtakatifu kwamba kuna mshefa mmoja ana mpango wa kutoa sadaka kubwa.
Mshefa yeyote aliyesikia Roho Mtakatifu akimtia nguvu kutuwezesha kufanya kazi ya Bwana ajue tuko pamoja naye na Bwana atambariki mara sabini na saba pale atakapotoa pazidishiwe, biashara zake zifunguliwe, mahusiano yake yachanue, mpaka Mama Samia atengeneze njia zake ziwe zimenyooka kuliko za Doto Biteko.
Sema Haleluyaaa kama umeupata upako wa Bwana ndani ya Roho yako!
Halafu nicheki PM kwa namba ya M-Pesa ukamilishe muamala wa sadaka!
Bwana akubariki!!
(S)
😂😂😂 atajua hajui na dada kashamkataa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] MC wa buree kamkosaa, ngoja akapigwe 7M na Ma MC uchwaraaa.
Huyo shem miyeyusho jau tupu hapo!! Me nasubiri aniweke kwa yule boss wa PSG tuinunue Simba Moh timu ishamshinda lkn holaaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee shem sisi passport tushaandaa, vipi trip enyewe lini?
A
Lamomy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hana bahatiii kabisaa.[emoji23][emoji23][emoji23] atajua hajui na dada kashamkataa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa km mwehuu, woiiiihHuyo shem miyeyusho jau tupu hapo!! Me nasubiri aniweke kwa yule boss wa PSG tuinunue Simba Moh timu ishamshinda lkn holaaa!!
Anatuchomesha mahindi tu!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo pm shosti dada ako nimependa tena 🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hana bahatiii kabisaa.
Kiranga anazingua kwanza nna wasiwasi yupo bonyokwa tu 🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa km mwehuu, woiiiih
Usinambieee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo pm shosti dada ako nimependa tena [emoji1787][emoji1787]
Au kwa mtogoleeeKiranga anazingua kwanza nna wasiwasi yupo bonyokwa tu [emoji1787][emoji1787]
Usinambieee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au kwa mtogoleee