Mimi na mapito yangu, mimi na imani mpya ya Uislam

Kudo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
1,821
Reaction score
6,119
Angalizo; Andiko hili halilengi kubagaza Imani ya mtu yeyote, wala kutweza utu wa yeyote yule... Hili ni andiko la shuhuda fupi na ukuu wa Mungu dhidi yangu baada ya kubadili dini.. Ni hiyari yangu kuyaandika machache hapa...

Katika kipindi cha miaka mitano, Yani kutoka mwishoni mwa mwaka 2018 kuelekea 2019, familia yetu ilipata pigo la kundokewa na mmoja wa nguzo muhimu sana, lakini tulikubali kwa kuwa ilibaki kazi yake Mungu haina makosa.

Lakini kwangu ukawa mzigo mzigo mzito kuubeba, kwa kuwa sasa majukumu ya familia yakahamia kwangu kwa asilimia kubwa. Ikiwa na maana niwe msaada wa familia mbili; yangu binafsi na ile iliyoachwa na Mzee wangu.

Wakati nikiwaza majukumu hayo mapya, ghafla nikaanza kuuguliwa na mwanangu wa mkubwa, kila pahali hakuna tatizo lililoonekana na mwisho nikazika, haikupita hata miezi mitano, ghafla tu, mwanangu wa pili nae akafariki..! Wakati huo mdogo wangu nae yupo chakali kitandani... Hakika yalikuwa ni mapigo ambayo hakuna aliyejua yananimeza kiasi gani.

Kila jambo kwangu likawa gumu, nikapitia wakati mgumu mno. Katikati ya matatizo hayo yote, mke wangu nae akazua jambo jipya, kwamba kuna mkono wa mtu kwenye vifo vya ndugu na watoto wangu, na anaemshuku akamtaja. Akageuka chungu ndani ya nyumba, hataki kusikia la mtu.

Binafsi hali hiyo ikanipelekea kupata Sonona na nikaja humu JamiiForums kuomba msaada wa namna ya kuikabili hali yangu. Nikapata watu mbalimbali, ushauri mbalimbali. Baadhi walinielekeza kwa wachungaji na mashekhe.. nilihudhuria ibada ya maombezi kwenye moja ya kanisa, na nilihudhuria peke yangu kwa kuwa mke wangu alikataa kwa imani kwamba anahitaji twende kwa mganga wa kienyeji ili kutatua changamoto zetu...!

Na kuhudhuria kwangu kanisani kukaja na mambo mawili kwa wakati mmoja... Mke wangu akaamua kuachana na mimi kwa kuwa alimiani sichukulii serious madhila tunayopitia, na ni wakati huohuo mdogo wangu nae akafunga kauli..! Kiuchumi niliyumba na kuwa na madeni kwa kiasi kikubwa sana..! Sasa nikawa, watoto sina, mke sina.

Baada ya yote, nami nikaamua kujitoa uhai..! Sikuwa na hali nzuri kiakili lakini angalau simu chache za Mama yangu zikawa zinanifanya nifikirie mara mbilimbili kuhusu uamuzi wangu. Kwenye kupambana na roho chafu ya umauti, nikapigiwa na simu na mtu mmoja ambae ni memba humu JamiiForums na alikuwa amesoma ujumbe wangu, aliniomba nimweleze ukweli wa kila jaribu ninalopitia, nami nikamsimulia, akafunga safari kesho yake kuja kwangu, tulizungumza mengi na akanisihi sana niachane na uamuzi wangu wa kujitoa uhai.

Alinipigia simu kila mara alipopata nafasi....! Huyu mtu ni kama alikuwa malaika kwangu..! Mambo mengi yalibadilika kwa muda mfupi, nikaanza kujihisi mtu mpya na nikaanza kupambana upya...!

Lipo jambo; nyakati zote nilikuwa naenda ibadani na kuna wakati napata nafasi na mchungaji kuomba maombi maalumu, lakini sikuwahi kuwa napata amani na utulivu kama ambavyo nilikuwa nikiomba na yule jamaa kwa njia ya simu.

Alikuwa akiomba kwa lmani yake nami nasikiliza tu kwa sababu sikuwa naelewa baadhi ya maneno, kisha alikuwa akinisimulia mitihani ya Mtume Muhammad na mitume wengine ambayo iliwajenga sana kiimani.. alikuwa akinisomea Aya kadhaa... Baada ya hapo nabaki na amani sana moyoni mwangu. Nikaamua Kusilim rasmi na kuwa Muislm na kwa kufuata miongozo sasa nipo darasani kuijua vema dini ya kweli na haki...!

Mbali na yote niliyoandika, lakini leo nimefadhaika baada ya kufika kurejea mahali nilipozaliwa... Hali ya mskiti wetu si nzuri kiasi cha kufanya baadhi ya waumini kutembea Km nyingi kwenda kuswali... Nikawaza na kuhisi naweza kufanya jambo, lakini sijajaaliwa kuwa na kiasi toshelezi kwa ajili ya ujenzi.... Hivyo basi, nikaona nijaribu kushirikiana na watu ili ujenzi wa msikiti uanze mara moja... Lakini pia, zipatikane Juzuu na Misahafu...

Kama unaweza kununua Juzuu au Misahafu, unaweza kuwasilisha kwangu kwa mawasiliano ya simu 0785256311.

Kijiji ni Mwikoko, Kata ya Muriaza, wilaya ya Butiama, Mkoa wa Mara...!
 
Pole sana Mkuu kwa changamoto ulizokumbana nazo.Nimeanza kukufahamu wewe kwenye mambo ya simulizi.Hongera kwa kuchagua upande unaoona utakupa amani.Allah akupe ustahimilivu kwa yote uliyopitia.Nami nikijaaliwa nitachangia chochote kitu inshallah
 
Sawa Sawa
Butiama Hapo Hapo Jirani Na Mwalimu
 
In
Pole sana Mkuu kwa changamoto ulizokumbana nazo.Nimeanza kukufahamu wewe kwenye mambo ya simulizi.Hongera kwa kuchagua upande unaoona utakupa amani.Allah akupe ustahimilivu kwa yote uliyopitia.Nami nikijaaliwa nitachangia chochote kitu inshallah
In Sha Allah
 
Na
mtaje huyo member ili tuthibitishe story yako
Weza kujitaja mimi kwa akaunti fake, bado utakuwa hujathibitisha, kubwa zaidi ni kulinda privacy za watu kama wewe ulivyoamua kulinda yako kwa jina fake!
 
Angalizo; Andiko hili halilengi kubagaza Imani ya mtu yeyote, wala kutweza utu wa yeyote yule... Hili ni andiko la shuhuda fupi na ukuu wa Mungu dhidi yangu baada ya kubadili dini.. Ni hiyari yangu kuyaandika machache hapa...

Katika kipindi cha miaka mitano, Yani kutoka mwishoni mwa mwaka 2018 kuelekea 2019, familia yetu ilipata pigo la kundokewa na mmoja wa nguzo muhimu sana, lakini tulikubali kwa kuwa ilibaki kazi yake Mungu haina makosa.

Lakini kwangu ukawa mzigo mzigo mzito kuubeba, kwa kuwa sasa majukumu ya familia yakahamia kwangu kwa asilimia kubwa. Ikiwa na maana niwe msaada wa familia mbili; yangu binafsi na ile iliyoachwa na Mzee wangu.

Wakati nikiwaza majukumu hayo mapya, ghafla nikaanza kuuguliwa na mwanangu wa mkubwa, kila pahali hakuna tatizo lililoonekana na mwisho nikazika, haikupita hata miezi mitano, ghafla tu, mwanangu wa pili nae akafariki..! Wakati huo mdogo wangu nae yupo chakali kitandani... Hakika yalikuwa ni mapigo ambayo hakuna aliyejua yananimeza kiasi gani.

Kila jambo kwangu likawa gumu, nikapitia wakati mgumu mno. Katikati ya matatizo hayo yote, mke wangu nae akazua jambo jipya, kwamba kuna mkono wa mtu kwenye vifo vya ndugu na watoto wangu, na anaemshuku akamtaja. Akageuka chungu ndani ya nyumba, hataki kusikia la mtu.

Binafsi hali hiyo ikanipelekea kupata Sonona na nikaja humu JamiiForums kuomba msaada wa namna ya kuikabili hali yangu. Nikapata watu mbalimbali, ushauri mbalimbali. Baadhi walinielekeza kwa wachungaji na mashekhe.. nilihudhuria ibada ya maombezi kwenye moja ya kanisa, na nilihudhuria peke yangu kwa kuwa mke wangu alikataa kwa imani kwamba anahitaji twende kwa mganga wa kienyeji ili kutatua changamoto zetu...!

Na kuhudhuria kwangu kanisani kukaja na mambo mawili kwa wakati mmoja... Mke wangu akaamua kuachana na mimi kwa kuwa alimiani sichukulii serious madhila tunayopitia, na ni wakati huohuo mdogo wangu nae akafunga kauli..! Kiuchumi niliyumba na kuwa na madeni kwa kiasi kikubwa sana..! Sasa nikawa, watoto sina, mke sina.

Baada ya yote, nami nikaamua kujitoa uhai..! Sikuwa na hali nzuri kiakili lakini angalau simu chache za Mama yangu zikawa zinanifanya nifikirie mara mbilimbili kuhusu uamuzi wangu. Kwenye kupambana na roho chafu ya umauti, nikapigiwa na simu na mtu mmoja ambae ni memba humu JamiiForums na alikuwa amesoma ujumbe wangu, aliniomba nimweleze ukweli wa kila jaribu ninalopitia, nami nikamsimulia, akafunga safari kesho yake kuja kwangu, tulizungumza mengi na akanisihi sana niachane na uamuzi wangu wa kujitoa uhai.

Alinipigia simu kila mara alipopata nafasi....! Huyu mtu ni kama alikuwa malaika kwangu..! Mambo mengi yalibadilika kwa muda mfupi, nikaanza kujihisi mtu mpya na nikaanza kupambana upya...!

Lipo jambo; nyakati zote nilikuwa naenda ibadani na kuna wakati napata nafasi na mchungaji kuomba maombi maalumu, lakini sikuwahi kuwa napata amani na utulivu kama ambavyo nilikuwa nikiomba na yule jamaa kwa njia ya simu.

Alikuwa akiomba kwa lmani yake nami nasikiliza tu kwa sababu sikuwa naelewa baadhi ya maneno, kisha alikuwa akinisimulia mitihani ya Mtume Muhammad na mitume wengine ambayo iliwajenga sana kiimani.. alikuwa akinisomea Aya kadhaa... Baada ya hapo nabaki na amani sana moyoni mwangu. Nikaamua Kusilim rasmi na kuwa Muislm na kwa kufuata miongozo sasa nipo darasani kuijua vema dini ya kweli na haki...!

Mbali na yote niliyoandika, lakini leo nimefadhaika baada ya kufika kurejea mahali nilipozaliwa... Hali ya mskiti wetu si nzuri kiasi cha kufanya baadhi ya waumini kutembea Km nyingi kwenda kuswali... Nikawaza na kuhisi naweza kufanya jambo, lakini sijajaaliwa kuwa na kiasi toshelezi kwa ajili ya ujenzi.... Hivyo basi, nikaona nijaribu kushirikiana na watu ili ujenzi wa msikiti uanze mara moja... Lakini pia, zipatikane Juzuu na Misahafu...

Kama unaweza kununua Juzuu au Misahafu, unaweza kuwasilisha kwangu kwa mawasiliano ya simu 0785256311.

Kijiji ni Mwikoko, Kata ya Muriaza, wilaya ya Butiama, Mkoa wa Mara...!
Hongera mwarabu mtarajiwa jitu jeusi linatamani kuwa liarabu.
 
Umepangilia vizuri stori yako, ungeenda tu Moja kwa moja kwenye hoja ya kutaka michango ya ujenzi wa MSIKITI ,
 
Na

Weza kujitaja mimi kwa akaunti fake, bado utakuwa hujathibitisha, kubwa zaidi ni kulinda privacy za watu kama wewe ulivyoamua kulinda yako kwa jina fake!
Mkuu itakuwa ngumu kukuamini ungetuaminisha kwa njia nyingine, huo msikiti mnataka kujenga wapi exactly
 
Angalizo; Andiko hili halilengi kubagaza Imani ya mtu yeyote, wala kutweza utu wa yeyote yule... Hili ni andiko la shuhuda fupi na ukuu wa Mungu dhidi yangu baada ya kubadili dini.. Ni hiyari yangu kuyaandika machache hapa...

Katika kipindi cha miaka mitano, Yani kutoka mwishoni mwa mwaka 2018 kuelekea 2019, familia yetu ilipata pigo la kundokewa na mmoja wa nguzo muhimu sana, lakini tulikubali kwa kuwa ilibaki kazi yake Mungu haina makosa.

Lakini kwangu ukawa mzigo mzigo mzito kuubeba, kwa kuwa sasa majukumu ya familia yakahamia kwangu kwa asilimia kubwa. Ikiwa na maana niwe msaada wa familia mbili; yangu binafsi na ile iliyoachwa na Mzee wangu.

Wakati nikiwaza majukumu hayo mapya, ghafla nikaanza kuuguliwa na mwanangu wa mkubwa, kila pahali hakuna tatizo lililoonekana na mwisho nikazika, haikupita hata miezi mitano, ghafla tu, mwanangu wa pili nae akafariki..! Wakati huo mdogo wangu nae yupo chakali kitandani... Hakika yalikuwa ni mapigo ambayo hakuna aliyejua yananimeza kiasi gani.

Kila jambo kwangu likawa gumu, nikapitia wakati mgumu mno. Katikati ya matatizo hayo yote, mke wangu nae akazua jambo jipya, kwamba kuna mkono wa mtu kwenye vifo vya ndugu na watoto wangu, na anaemshuku akamtaja. Akageuka chungu ndani ya nyumba, hataki kusikia la mtu.

Binafsi hali hiyo ikanipelekea kupata Sonona na nikaja humu JamiiForums kuomba msaada wa namna ya kuikabili hali yangu. Nikapata watu mbalimbali, ushauri mbalimbali. Baadhi walinielekeza kwa wachungaji na mashekhe.. nilihudhuria ibada ya maombezi kwenye moja ya kanisa, na nilihudhuria peke yangu kwa kuwa mke wangu alikataa kwa imani kwamba anahitaji twende kwa mganga wa kienyeji ili kutatua changamoto zetu...!

Na kuhudhuria kwangu kanisani kukaja na mambo mawili kwa wakati mmoja... Mke wangu akaamua kuachana na mimi kwa kuwa alimiani sichukulii serious madhila tunayopitia, na ni wakati huohuo mdogo wangu nae akafunga kauli..! Kiuchumi niliyumba na kuwa na madeni kwa kiasi kikubwa sana..! Sasa nikawa, watoto sina, mke sina.

Baada ya yote, nami nikaamua kujitoa uhai..! Sikuwa na hali nzuri kiakili lakini angalau simu chache za Mama yangu zikawa zinanifanya nifikirie mara mbilimbili kuhusu uamuzi wangu. Kwenye kupambana na roho chafu ya umauti, nikapigiwa na simu na mtu mmoja ambae ni memba humu JamiiForums na alikuwa amesoma ujumbe wangu, aliniomba nimweleze ukweli wa kila jaribu ninalopitia, nami nikamsimulia, akafunga safari kesho yake kuja kwangu, tulizungumza mengi na akanisihi sana niachane na uamuzi wangu wa kujitoa uhai.

Alinipigia simu kila mara alipopata nafasi....! Huyu mtu ni kama alikuwa malaika kwangu..! Mambo mengi yalibadilika kwa muda mfupi, nikaanza kujihisi mtu mpya na nikaanza kupambana upya...!

Lipo jambo; nyakati zote nilikuwa naenda ibadani na kuna wakati napata nafasi na mchungaji kuomba maombi maalumu, lakini sikuwahi kuwa napata amani na utulivu kama ambavyo nilikuwa nikiomba na yule jamaa kwa njia ya simu.

Alikuwa akiomba kwa lmani yake nami nasikiliza tu kwa sababu sikuwa naelewa baadhi ya maneno, kisha alikuwa akinisimulia mitihani ya Mtume Muhammad na mitume wengine ambayo iliwajenga sana kiimani.. alikuwa akinisomea Aya kadhaa... Baada ya hapo nabaki na amani sana moyoni mwangu. Nikaamua Kusilim rasmi na kuwa Muislm na kwa kufuata miongozo sasa nipo darasani kuijua vema dini ya kweli na haki...!

Mbali na yote niliyoandika, lakini leo nimefadhaika baada ya kufika kurejea mahali nilipozaliwa... Hali ya mskiti wetu si nzuri kiasi cha kufanya baadhi ya waumini kutembea Km nyingi kwenda kuswali... Nikawaza na kuhisi naweza kufanya jambo, lakini sijajaaliwa kuwa na kiasi toshelezi kwa ajili ya ujenzi.... Hivyo basi, nikaona nijaribu kushirikiana na watu ili ujenzi wa msikiti uanze mara moja... Lakini pia, zipatikane Juzuu na Misahafu...

Kama unaweza kununua Juzuu au Misahafu, unaweza kuwasilisha kwangu kwa mawasiliano ya simu 0785256311.

Kijiji ni Mwikoko, Kata ya Muriaza, wilaya ya Butiama, Mkoa wa Mara...!
dini inayokutaka ujitoe mhanga, dini inayosema kuna majini mazuri, dini inayosema unaweza kuswali na majini, dini ya uongo, umedanganywa na shetani, umekamatika, na umetekwa. jiandae kwenda motoni kama hautampokea Yesu kuwa mwokozi wa maisha yako. tumenawa mikono kwako.
 
Usingeweka mambo ya mchango ingekuwa vema sana, hii inatia mashaka kwa wadau. Sababu watu wameshakula sana za kichwa.

Kila la kheri mkuu, Insha'allah, mola akufanyie wepesi

Inna Ma Al Usri Yusra
 
dini inayokutaka ujitoe mhanga, dini inayosema kuna majini mazuri, dini inayosema unaweza kuswali na majini, dini ya uongo, umedanganywa na shetani, umekamatika, na umetekwa. jiandae kwenda motoni kama hautampokea Yesu kuwa mwokozi wa maisha yako. tumenawa mikono kwako.
Kumpokea Yesu ni maana yake kutenda yaliyo mema na kuachana na mabaya yote.

Hata kama kuna Muislamu au Buddha anatenda yaliyo mema huyo kampokea Yesu pia.

Yesu anaishi ndan yetu.
 
Back
Top Bottom