Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

β€’ Dini inazuia nini kwenye huo muunganiko wenu?

β€’ Lengo lako ni abadili dini tu, au unataka aanze kujifunza na kuwa committed kwa 100%?

β€’ Vipi kama akija kwenye dini Yako, lakini asiyape uzito mafundisho yake?
 
Na yapo mazee mengi majinga yamewakana watoto wao sababu ya dini tu
 
Ulioa wapi we mzee? Hii tabia ya kuburuza mwanamke kutoka mtaa jirani na kuishi nae ukimchoka unambwaga afu tunaita ni ndoa ipigwe marufuku
 
Ni upumbavu wa hali ya juu waafrica kuacha kuunganisha vikojoleo kisa dini za kuletwa kwa majahazi .

Samahan mtoa mada lakin[emoji120]
Siku ukikua utakuja kusoma upumbavu wako hapa. Katika yote ambayo umewaza ni ngono tu, ngono ni sehemu ndogo sana kwenye ndoa.
Mwanaume ni kichwa cha familia, kichwa kinapotaka kufanywa mkia hapo hakuna ndoa
 
Kuachana kwema mzeee mi nipo na pisi yangu hapa sina habaariiiii!!!!! Alaf na mguu wa kuku upo hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kikubwa ni "AMANI YA MOYO WAKE.
We live one time, why trouble?

#YNWA
 
β€’ Dini inazuia nini kwenye huo muunganiko wenu?

β€’ Lengo lako ni abadili dini tu, au unataka aanze kujifunza na kuwa committed kwa 100%?

β€’ Vipi kama akija kwenye dini Yako, lakini asiyape uzito mafundisho yake?
Imani ni kitu muhim
Kila familia inayoelewa inachunga sana hili!
Fuatikia Wana wa Israel walivyopewa warning na Mungu kuhusu kuoana na watu wa Imani tofauti?
So ni kitu kipo,Kila mmoja na anavyoamini, anavyotaka kizazi chake kileleweje
 
Asante kwa jibu zuri mrembo. Hapo unakuwa umemsaidia kujibu swali langu la kwanza.

Vipi hayo mengine yaliyobaki?

Natumai atakuja kuyajibu.
 
So ni kitu kipo,Kila mmoja na anavyoamini, anavyotaka kizazi chake kileleweje
Ili ni specific for you:

"Kwa ajili ya kizazi chako, haupo tayari kuolewa na asiyekuwa mlokole au it's okay yeyote akija as long as ni mkristo?"
 
Siku ukikua utakuja kusoma upumbavu wako hapa. Katika yote ambayo umewaza ni ngono tu, ngono ni sehemu ndogo sana kwenye ndoa.
Mwanaume ni kichwa cha familia, kichwa kinapotaka kufanywa mkia hapo hakuna ndoa
Asante kwa ushauri mkuu joniπŸ™
 
We jamaa utakuwa una matatizo makubwa sana unamuacha mwanamke kwa sababu ya dini kweli aya fanya maamuzi mana ndio umeamua
 
Ili ni specific for you:

"Kwa ajili ya kizazi chako, haupo tayari kuolewa na asiyekuwa mlokole au it's okay yeyote akija as long as ni mkristo?"
Okay!
No nikisema Imani siongeleo ulokole!
Naongekea "Christianity"...
Kuna walokole na Kuna wanaojiita walokole!
Ss sihitaji matatizo ,sbb nawajua vzr!πŸ˜€
Nahitaji Ambae tunakiri, Imani Moja,tuonaongea lugha moja,watt ,uzao , generation ijue Mungu wa baba zao sio kuyumbayumba Leo kule kesho huku!

Refer; Ibrahim,isaka yakobo mok Musa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…