Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

Ni dini tu ama kuna jingine....nawafaham masela wangu ambao wameoa dini tofauti (sio dhehebu) na huwezi gundua hadi uambiwe, watoto wapo secondary saizi Hata mjumbe wa mtaa wangu ni dini tofauti na mke wake. Huenda unatatizo
 
Siku moja naombwa sadaka na wife, akaenda kusali kanisa la EAGT, jioni yake jamaa yangu anaesali kanisa lile akatuma message nanukuu " ndugu yangu bwana FADSON, mungu yu ndani ya nyumba yako hakika umebarikiwa

Naami nkamjibu, "it's first and last" nliwaza sana yaani tangu niwe na familia Mungu hakuwahi kuwepo ktk familia yangu hadi wife alipoamua kwenda pale,

Nlimwambia kama ulkua ukipfunga ili upande mume bora , basi ushanpata na ikibidi mambo mengine niachie mim ndo starling wa hii movie

Kuanzia hapo nkaweka msimamo yangu

Hakuwahi kwenda kule na hatujawahi kuingia ktk msuguano tena.
 
Baada ya kuachana mtakuja gundua kumbe hamkuachana sababu yeye haamini unachokiamini.
Ipo sababu,....
 
Dini mambo ya wazungu hayo brother...usiwe serious sana kwa izo ishu
 
O Ulifanikiwa kuachana nae? Unipe connection.
 
Mnaachana mahaba yenu na watoto wenu sababu ya Dini za Wakoloni nwa Warabu wauza Watumwa?

Basi nyote mna shida
 
Na tuliokubaliana kilamtu na imani yake mtupe maneno mafupi
Asanteni😀😀😀
Huo ni uzinzi tu, nothing else. Watu wawili mnaishi kwa misingi tofauti af mna assume ni kitu kimoja
 
Unaachanje mbunye kisa dini? Acha ujinga, hiyo midini imeletwa ili kutugawa na kututia ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…