Mimi na mke wangu mapenzi yetu ya kizungu waswahili wanaona wivu

we mwanamke hapigwi haswa mwanamke mjamzito we kama unapiga wanawake we ni lipumbavu.
 
nataka dunia nzima ijue namna gani nampenda mke wangu ,nataka ninunue insta account yenye followers wengi nioneshe namna gani nampenda mke wangu
nampenda mpaka natamani kulia
 
mapenzi matamu sana ,mke wangu mtamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…