mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 832
- 992
Jf kuna kazi kweli siku hizi.
Usisahau kuleta uzi wa mrejesho basi
Usisahau kuleta uzi wa mrejesho basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umnyoe na mavusi ili akienda kujifungua awe safi
ha ha ha ha inaweza kuwa kweli kwa spidi hii si mchezomara paap anaanza kutangazia mashoga zake kua dawa za mganga zimeanza kufanya kazi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mara paap anaanza kutangazia mashoga zake kua dawa za mganga zimeanza kufanya kazi
ndo wajibu wangu huoJambo zuri mkuu...mara moja moja naye anafurahi.
Sometimes tuwe serious aisee,hii kitu nayo ya kufungua uzi?,mnashusha hadhi ya jf aisee
Ila smart we ni mtu wa aina gani, you seem so carefree, free soul with a lot of humor
Ni binadamu wa kawaida... yes i'm a free soul...
If you are good to me i will be good to you, if you are bad to me, i will continue to be good to you...
Cc: mahondaw