Juzi hapa Kuna dada kakimbia watoto wake kaenda Mwanza.Sasa hivi habari zimefika anapata tabu anaomba masamaha.Singo maza msi comment chochote hamna akili wala uwezo wa kuchangia chochote... Mmekuwa useless kwasababu ktk nyakat kama hizi mwanamke mwenzenu anapambana na mumewe nyie mlichagua kukimbia wanaume zenu mkidhani shida zitadumu milele... Sasa waume zenu wamesimama imara wanakula maisha na wanawake wengine...
Shukran mkuu.Hongera mkuu, umepata kilicho bora ππΎππΎ
Kukata tamaa ni laana mkuu.Pole bro na hongera kwa kuwa na mke mvumilivu na muelewa. Maisha ya ups & downs ipo siku utakuwa na uchumi imara, tupambane kukata tamaa mwiko
Una matatzo ww ama umri wa mpito wa barehe unakusumbuaYaani wewe na mkeo. Kama mimi na kupiga nyeto. Tumefaana sana. Hivo hivo. Kwenye shida na raha.
USIPENDE KUMPA NAFASI SHETANI KWA KUTANGAZA MAFANIKIO YAKO KWA MAWAKALA WA SHETANI{WATU NI WABAYA SANA KULIKO WANADAMU}Habari wakuu.
Bana msoto wa Maisha ni mkali sana katika hii Dunia.
Mimi na mke wangu tupo Bega Kwa Bega Mbali Na Maisha magumu tunayopitia na upendo wetu umeongezeka maradufu.
Ebana shemeji yenu ananipa Moyo Sana katika utafutaji wa ugali.Nafurahi kusema ya kwamba kipindi cha raha tulikuwa pamoja na kipindi hiki cha msoto tupo pamoja.
Watoto wetu hawajui ugumu wa Maisha wakati mwingine mwanangu WA mwisho ananiuliza baba Gari yako ipo gereji?Namjibu ndio mana naona majirani wakipaki magari Yao.
Ewe mwanaume mwenzangu uliyeoa mpende mkeo kama heshima yako kaibeba.Mkigombana wekeni suruhushi Maisha yaendelee.
Tuko pamoja ndugu yangu. Familia yenye amani ndio msingi wa mafanikioKukata tamaa ni laana mkuu.
Naskiliza wasafi FM kupitia simu Yake ya kitochi. huku nikiongea na nyinyi ndugu zangu
Nimekuelewa mkuu.Shukrani sana.USIPENDE KUMPA NAFASI SHETANI KWA KUTANGAZA MAFANIKIO YAKO KWA MAWAKALA WA SHETANI{WATU NI WABAYA SANA KULIKO WANADAMU}
HAUTANIELEWA LEO..ENDELEA KUSHARE POST ZAKO MAENEO MBALI MBALI KUONYESHA MAFANIKIO YAKO NDO UTAKUJA NIELEWA.
WATU NI WABAYA SANA TENA SANA.
Nishapita balehe miaka 25 iliyopita. Puli sijawahi acha.Una matatzo ww ama umri wa mpito wa barehe unakusumbua