Mimi na mke wangu tupo bega Kwa bega mbali na maisha magumu tunayopitia na upendo wetu umeongezeka maradufu

Mimi na mke wangu tupo bega Kwa bega mbali na maisha magumu tunayopitia na upendo wetu umeongezeka maradufu

Singo maza msi comment chochote hamna akili wala uwezo wa kuchangia chochote... Mmekuwa useless kwasababu ktk nyakat kama hizi mwanamke mwenzenu anapambana na mumewe nyie mlichagua kukimbia wanaume zenu mkidhani shida zitadumu milele... Sasa waume zenu wamesimama imara wanakula maisha na wanawake wengine...
Juzi hapa Kuna dada kakimbia watoto wake kaenda Mwanza.Sasa hivi habari zimefika anapata tabu anaomba masamaha.

Dereva wa bajaji alimdanganya.
 
Pole bro na hongera kwa kuwa na mke mvumilivu na muelewa. Maisha ya ups & downs ipo siku utakuwa na uchumi imara, tupambane kukata tamaa mwiko
Kukata tamaa ni laana mkuu.

Naskiliza wasafi FM kupitia simu Yake ya kitochi. huku nikiongea na nyinyi ndugu zangu
 
Habari wakuu.

Bana msoto wa Maisha ni mkali sana katika hii Dunia.

Mimi na mke wangu tupo Bega Kwa Bega Mbali Na Maisha magumu tunayopitia na upendo wetu umeongezeka maradufu.

Ebana shemeji yenu ananipa Moyo Sana katika utafutaji wa ugali.Nafurahi kusema ya kwamba kipindi cha raha tulikuwa pamoja na kipindi hiki cha msoto tupo pamoja.

Watoto wetu hawajui ugumu wa Maisha wakati mwingine mwanangu WA mwisho ananiuliza baba Gari yako ipo gereji?Namjibu ndio mana naona majirani wakipaki magari Yao.

Ewe mwanaume mwenzangu uliyeoa mpende mkeo kama heshima yako kaibeba.Mkigombana wekeni suruhushi Maisha yaendelee.
USIPENDE KUMPA NAFASI SHETANI KWA KUTANGAZA MAFANIKIO YAKO KWA MAWAKALA WA SHETANI{WATU NI WABAYA SANA KULIKO WANADAMU}
HAUTANIELEWA LEO..ENDELEA KUSHARE POST ZAKO MAENEO MBALI MBALI KUONYESHA MAFANIKIO YAKO NDO UTAKUJA NIELEWA.
WATU NI WABAYA SANA TENA SANA.
 
USIPENDE KUMPA NAFASI SHETANI KWA KUTANGAZA MAFANIKIO YAKO KWA MAWAKALA WA SHETANI{WATU NI WABAYA SANA KULIKO WANADAMU}
HAUTANIELEWA LEO..ENDELEA KUSHARE POST ZAKO MAENEO MBALI MBALI KUONYESHA MAFANIKIO YAKO NDO UTAKUJA NIELEWA.
WATU NI WABAYA SANA TENA SANA.
Nimekuelewa mkuu.Shukrani sana.
Sio kila MTU hupenda vile tunavyoishi mkuu.

Watu ni waajabu sana wana maneno ya kukatisha Tamaa.
Cc diamond platinums
 
Back
Top Bottom