Mimi na mwenza wangu tunatarajia kutafuta mtoto wa kike, tunataka awe Giniasi tunaomba muongozo wenu

Mimi na mwenza wangu tunatarajia kutafuta mtoto wa kike, tunataka awe Giniasi tunaomba muongozo wenu

U giniasi wa mtoto hutokana na makuzi (malezi) unayompa katika ukuaji wake naweza kukupa mfano wa tofauti ya watoto wangu wawili hawa wa mwanzo, mmoja ana miaka mi 5 mwingine mi 2 na miezi mi 5 ila mambo anayoyafanya huyu wa miaka mi 2/5Months ni tofauti sana na kaka yake wa miaka mi 5 ambaye tulimlea kama yai (kama ujuavyo mtoto wa kwanza) ikamuwia vigumu hadi shule ubongo ulikua unalala lala kama malezi tuliyompa,lakini huyu kijana mdogo 2/5months mpaka sasa anaweza kuhesabu mpaka 10 bila kukosea,anaweza kuandika (japo vingi havieleweki) ,anahoji au kuongea lolote kwa kila anachokiona,hajikojolei wala hajisaidii choo kikubwa kwenye nguo yaani kiufupi ukikaa nae hautojisikia upweke,nyumba inachangamka sana kwa ajili yake yeye,kiufupi namtabiria mazuri na makubwa zaidi
Nashukuru sana mkuu kwa kunipa mwanga
 
Sasa kama baba bashite mama bashite halafu unataka Genius sahau hata Yesu ashuke leo
 
But always big % genius comes naturally ,yaan anazaliwa na uwezo huo ,sio mpaka afundishwe
Hili ndilo tatizo letu waafrika wengi, tunaamini katika u sheikh Sharifu sana "kwamba mtoto amezaliwa anaongea au anaandika n.k" tunaamini huo ndio u genius na tunaona malezi na mazingira ya makuzi yake yana mchango mdogo sana (hayana msaada wowote) katika akili yake!
Basi kama hufahamu hakuna kitu kinambomoa mtoto kama malezi na mazingira yake anayokulia kwa ujumla,kama utamjenga mtoto katika hali ya kusoma vitabu atakua hivyo katika maisha yake yote lakini kama utamjenga katika kusikia kelele kelele za baba na mama kupigana,kugombana na kutukanana basi hata ubongo wake uwe mzuri kiasi gani lazima utaangukia kwenye ulichokipanda kwake.
 
Hili ndilo tatizo letu waafrika wengi, tunaamini katika u sheikh Sharifu sana "kwamba mtoto amezaliwa anaongea au anaandika n.k" tunaamini huo ndio u genius na tunaona malezi na mazingira ya makuzi yake yana mchango mdogo sana (hayana msaada wowote) katika akili yake!
Basi kama hufahamu hakuna kitu kinambomoa mtoto kama malezi na mazingira yake anayokulia kwa ujumla,kama utamjenga mtoto katika hali ya kusoma vitabu atakua hivyo katika maisha yake yote lakini kama utamjenga katika kusikia kelele kelele za baba na mama kupigana,kugombana na kutukanana basi hata ubongo wake uwe mzuri kiasi gani lazima utaangukia kwenye ulichokipanda kwake.
Hujakosea unachokisema mkuu , but review my statement ,nimesema big % not all 100%
But umenena vyema nami pia nimekuelewa[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Geneous ni abnormality... yaani ni kitu ambacho si cha maumbile ya kawaida hivyo,huwezi kumfanya mwanao akawa geneous ila unaweza kumlea malezi ambayo yatamfanya kuwa muerevu na mfano kwa watoto wengine....

Kuwa mzazi ambaye atamuaminisha mtoto kuwa chochote anachokiota kitakuwa kama ataweka juhudi.. msimlee kimayai na wala si kwa kumuumiza maana yote yana athari....

Kingine usimpe mtoto kila kitu anachokihitaji haswaa kwa vile visivyo na ulazima ili awe na changamoto ya kufikiri zaidi...
 
Majiniasi wengi wanakuwaga watoto wa masikini, je wewe ni masikini? Majiniasi wengi wanakuwaga masikini au nusu ya kichaa ktk maisha yao je wewe unataka hivyo?
 
Staili ya mbuzi kakata kamba inaaminika kutoa majiniaz wengi zaidi kuanzia newton mpaka steven hawkins
 
Naomba nam nikushauri kidgo,,japo sio mtaalam sana ila itakusaidia kupitia pitia na mawazo ya wengine.. Kwanza lazima ujue Genius ni nini! Then akili ni nini? Mwsho wewe upoje na mwenz wako.

Unapenda mwanao awe na akil nying,nia nzur na nakuombea ulitimize lakin wewe unajijua vizur na unamjua vzr mwenzako?

Unataka awe na akil za namna gan? Za kupasua 100% shule au ya kung'amua mambo yanayomzunguka? Nmekuuliza kuhusu wewe na mwenz wako sababu ndio washika dau wa kwanza kabsa kwenye hii ishu yako... Jinsi ambavyo utailea mimba,kwa upendo,ukaribu,furaha na aman bila kua mlalamishi mlalamishi,unakula vyakula vyenye manufaa kwa mjamzito,ukajifungua salama kwanza utapata mtoto mwenye afya na akil cz anapokea ving akiwa hata bado hajatoka.

Jinsi utakavyokua na conection nzur nae baada ya kuzaliwa kwake,akala kwa wakat vyakula vyakula vyenye madin sahihi,akalala kwa wakat mida wote wa masaa 17/24 lazma mtoto awe na akli. Na ukimbuke mtoto hajifunzi anavyosikia bal anajifunza anavyoshuhudia..

Kubwa mlee vizur mpe lishe makin na apumzike kwa ufasaha lazma utaleta mrejesho hapa..na unadhan utajuaje labda mwanao ameanza kupata akili??(utanijib ukiwa na muda)

Mwanangu toka awe na uwezo wa kuvaa ndala au sendoz,,baada ya kupata uwezo wa kusimama ni mara moja tu nilimwonyesha hii ya kulia na hii ya kushoto hakuwah kukosea kuvaaa mpaka leo,,na wakat namalizia kabanda kangu ili nihamie kwangu wakat akiwa na miaka miwil na miez saba,,nilimpa flash disk nikamwambia ifiche na usimwambie mtu,,nilikuja kuona maajab wakat wa kuhama akiwa na miaka minne nikamwambia naomba ile flash ulioificha aliniangalia tu machon kama sekunde 20 akaondoka akaniletea,kumbukumbu ya miaka miwil ilinifanye nimwone kuna kitu anacho kipo kwa ubongo wake,,anakumbukumbu nzr na yupo smart sana ukimwelekeza cchte..

Fanya juhud,utafanikiwa ila angalia sana
 
vitu vingne vinaendaga na historia...je kwenye familia au ukoo kuna mtu wa namna hiyo?sasa kama ukoo wote wa vichaa tupu usitegemee mtu kichwa kutokea hapo jamani

ukoo mzima una watu wenye fedha chafu ..ni ngumu kumkuta mtu ndani ya ukoo huohuo mskini wa kutupa..umasikini wake atamiliki hata vitz basi...MAJI HUFATA MKONDO
 
Staili ya mbuzi kakata kamba inaaminika kutoa majiniaz wengi zaidi kuanzia newton mpaka steven hawkins
inasemekana kuna vichaa wamekimbia milembe na mmoja wao inasemekana yumo humu..nadhanin unaweza ukawa ni muhusika sanah
 
Back
Top Bottom