Naomba nam nikushauri kidgo,,japo sio mtaalam sana ila itakusaidia kupitia pitia na mawazo ya wengine.. Kwanza lazima ujue Genius ni nini! Then akili ni nini? Mwsho wewe upoje na mwenz wako.
Unapenda mwanao awe na akil nying,nia nzur na nakuombea ulitimize lakin wewe unajijua vizur na unamjua vzr mwenzako?
Unataka awe na akil za namna gan? Za kupasua 100% shule au ya kung'amua mambo yanayomzunguka? Nmekuuliza kuhusu wewe na mwenz wako sababu ndio washika dau wa kwanza kabsa kwenye hii ishu yako... Jinsi ambavyo utailea mimba,kwa upendo,ukaribu,furaha na aman bila kua mlalamishi mlalamishi,unakula vyakula vyenye manufaa kwa mjamzito,ukajifungua salama kwanza utapata mtoto mwenye afya na akil cz anapokea ving akiwa hata bado hajatoka.
Jinsi utakavyokua na conection nzur nae baada ya kuzaliwa kwake,akala kwa wakat vyakula vyakula vyenye madin sahihi,akalala kwa wakat mida wote wa masaa 17/24 lazma mtoto awe na akli. Na ukimbuke mtoto hajifunzi anavyosikia bal anajifunza anavyoshuhudia..
Kubwa mlee vizur mpe lishe makin na apumzike kwa ufasaha lazma utaleta mrejesho hapa..na unadhan utajuaje labda mwanao ameanza kupata akili??(utanijib ukiwa na muda)
Mwanangu toka awe na uwezo wa kuvaa ndala au sendoz,,baada ya kupata uwezo wa kusimama ni mara moja tu nilimwonyesha hii ya kulia na hii ya kushoto hakuwah kukosea kuvaaa mpaka leo,,na wakat namalizia kabanda kangu ili nihamie kwangu wakat akiwa na miaka miwil na miez saba,,nilimpa flash disk nikamwambia ifiche na usimwambie mtu,,nilikuja kuona maajab wakat wa kuhama akiwa na miaka minne nikamwambia naomba ile flash ulioificha aliniangalia tu machon kama sekunde 20 akaondoka akaniletea,kumbukumbu ya miaka miwil ilinifanye nimwone kuna kitu anacho kipo kwa ubongo wake,,anakumbukumbu nzr na yupo smart sana ukimwelekeza cchte..
Fanya juhud,utafanikiwa ila angalia sana