Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Jaribu kuwa mtu wa maana siku mojamoja hao unaowasemea kwa habari za kisikia unazoleta humu unaushahidi nayo???Sitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri.
Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa, Mifumo ya NEC na NIDA inaonana na CCM, na wakati huo huo CCM ndio mratibu wa hiyo mifumo nyuma ya pazia.
Tafakari na chukua hatua.
Ukute na mimi nimeandikwa Kama mpiga kura...mbona nitawarogaSitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri.
Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa, Mifumo ya NEC na NIDA inaonana na CCM, na wakati huo huo CCM ndio mratibu wa hiyo mifumo nyuma ya pazia.
Tafakari na chukua hatua.
Nilishangaa bosi watamisemi aliposema walioandikishwa ni zaidi ya million 32 ambao ni wapiga kura na cyo waliojiandikisha na wakaipa ccm ushindi wa kishindo, kumbe ni mwendo wa Ku retrive data kutoka nidaSitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri.
Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa, Mifumo ya NEC na NIDA inaonana na CCM, na wakati huo huo CCM ndio mratibu wa hiyo mifumo nyuma ya pazia.
Tafakari na chukua hatua.
ivi kama sikwenda kuboresha bado ntahesabika ni mpiga kuraKwani kwenye zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura ilipeleka taarifa za watu ambao hawana sifa ya kupiga kura wakiwemo marehemu.kama haikupeleka mamake tume itaota fulani alishafariki
Wewe hata usipopiga kura chichiemu watashinda tu yaani hata Tanzania nzima tuhame nchi bado watashinda kwa mamilioni ya kura JIONGEZEivi kama sikwenda kuboresha bado ntahesabika ni mpiga kura
marehemu kajiandikisha katavi, alipo fariki familia iko mwanza inapeleka wapi taarifa zake
Hapo ndipo NRNE inapata uhalali. Daftari siku zote tunaboresha kwa kuandikisha waliofikisha umri wa kupiga kura, na wanaohamia sehemu tofauti na walikojiandikishia awali.Kwani kwenye zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura ilipeleka taarifa za watu ambao hawana sifa ya kupiga kura wakiwemo marehemu.kama haikupeleka mamake tume itaota fulani alishafariki
Hili siyo jambo la kufanyia mzaha.Tafakari na chukua hatua.
TLS.Ni nani anayeweza kusimamia kesi ya kundi hili mahakamani?
Tatizo ni kuwa wamemshikilia, na hatujui watamwachia lini.TLS.
Mifumo inasomana😀😄😊Na huyo marehemu Octoba atatiki atake asitake.