GE2025 "Mimi na ndugu zangu (wengine ni marehemu) hatukujiandikisha lakini taarifa za tume zinaonyesha tumeandikishwa" . Hii imekaaje?

GE2025 "Mimi na ndugu zangu (wengine ni marehemu) hatukujiandikisha lakini taarifa za tume zinaonyesha tumeandikishwa" . Hii imekaaje?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Heee
 

Attachments

  • 20250823_154242.jpg
    20250823_154242.jpg
    29.3 KB · Views: 19
Sitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri.

Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa, Mifumo ya NEC na NIDA inaonana na CCM, na wakati huo huo CCM ndio mratibu wa hiyo mifumo nyuma ya pazia.

Tafakari na chukua hatua.
Aisei! Tuwekee attachment hapa.
 
Yaezakuwa hata Lissu wammeshamuandika kwa daftari
 
Jaribu kuwa mtu wa maana siku mojamoja hao unaowasemea kwa habari za kisikia unazoleta humu unaushahidi nayo???

Acha kuropoka huu siyo wakati wale njoo na uthibitisho huo ujinga wenu na polepole utawaponza siku mkikamatwa sijui utetezi wenu ndiyo utakuwa ""polepole ndiyo alisema""
Mfumo inabidi iwe verifiable na independent contractor au wadau waliotoa shutuma. Otherwise tutaamini ni kweli
 
Back
Top Bottom