Mangole Valles Michael
JF-Expert Member
- May 30, 2021
- 338
- 683
Wakubwa kwema.? Mimi na wapangaji wenzangu tumepigwa kiasi hicho Cha faini kwasababu ya kuto kuweka mazingira kwenye hali ya usafi.
Sisi wanaume wa hapa tunapo ishi ni watu wa kutoka asubuhi na kurudi usiku nyumbani uratibu wa maswala ya usafi yanafanywa na wanawake nyumbani.
Leo imetokea Kama zari nilikua nahisi uchovu bahati nzuri nilipo fika nikakutana na wenzagu wawili nao Leo wamerudi mapema, ndo kukutanishwa na hiyo kesi.
Wakuu nipeni mbinu ya kuchomoka kwenye faini hiyo.
Vip wakiandika tutawajibika kuilipa.?Ni rahisi tu, waambieni wawaandikie hukumu na Sheria inayotumika, hawaamki!!???
Changamoto ilikua ni ndogo Sana tatizo shimo la maji taka Yale wanayo oshea vyombo limejaa kabla hatuja fanya mchakato wa kujimba jingine ndo wamekuja kutubanaFanyeni Usafi Leo Mpo Wote, Vinginevyo Mtapigwa Faini Mtachakaa
Pesa Inaliwa Tu
Tusipo lipa itakuajeLipeni acheni uchafu
Vip wakiandika tutawajibika kuilipa.?
Polisi 🤣🤣Tusipo lipa itakuaje
Je amekueleza kuwa hao wanawake ni wake zao au ni wapangaji wenzao?Inakuwaje wanawake hapo nyumbani wasifanye usafi wanashinda tu kuangalia tv na series za kutafsiriwa?
Hiyo fine walipe wanawake aisee!