Mangole Valles Michael
JF-Expert Member
- May 30, 2021
- 338
- 683
Wakubwa kwema.? Mimi na wapangaji wenzangu tumepigwa kiasi hicho Cha faini kwasababu ya kuto kuweka mazingira kwenye hali ya usafi.
Sisi wanaume wa hapa tunapo ishi ni watu wa kutoka asubuhi na kurudi usiku nyumbani uratibu wa maswala ya usafi yanafanywa na wanawake nyumbani.
Leo imetokea Kama zari nilikua nahisi uchovu bahati nzuri nilipo fika nikakutana na wenzagu wawili nao Leo wamerudi mapema, ndo kukutanishwa na hiyo kesi.
Wakuu nipeni mbinu ya kuchomoka kwenye faini hiyo.