Mimi na wapangaji wenzangu tumepgwa faini ya sh200,000/= na serikali ya mtaa. Nipeni mbinu ya kuchomoka hapa

Mangole Valles Michael

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2021
Posts
338
Reaction score
683
Wakubwa kwema.? Mimi na wapangaji wenzangu tumepigwa kiasi hicho Cha faini kwasababu ya kuto kuweka mazingira kwenye hali ya usafi.

Sisi wanaume wa hapa tunapo ishi ni watu wa kutoka asubuhi na kurudi usiku nyumbani uratibu wa maswala ya usafi yanafanywa na wanawake nyumbani.

Leo imetokea Kama zari nilikua nahisi uchovu bahati nzuri nilipo fika nikakutana na wenzagu wawili nao Leo wamerudi mapema, ndo kukutanishwa na hiyo kesi.

Wakuu nipeni mbinu ya kuchomoka kwenye faini hiyo.
 
Fanyeni Usafi Leo Mpo Wote, Vinginevyo Mtapigwa Faini Mtachakaa
Pesa Inaliwa Tu
 
Ni rahisi tu, waambieni wawaandikie hukumu na Sheria inayotumika, hawaamki!!???
 
Fanyeni Usafi Leo Mpo Wote, Vinginevyo Mtapigwa Faini Mtachakaa
Pesa Inaliwa Tu
Changamoto ilikua ni ndogo Sana tatizo shimo la maji taka Yale wanayo oshea vyombo limejaa kabla hatuja fanya mchakato wa kujimba jingine ndo wamekuja kutubana
 
Kwenye nchi kama hii unauliza mbinu za kuruka kihuzi cha fine? Kunja 20 au 30 mpatie huyo afisa anasepa zake.
 
Back
Top Bottom