Mimi na wapangaji wenzangu tumepgwa faini ya sh200,000/= na serikali ya mtaa. Nipeni mbinu ya kuchomoka hapa

Umekiri kwamba WANAWAKE wenu hua wapo nyumbani Kwa ufupi Wake zenu wote niwachafu na serikali imewakumbusha kwamba mmeoa viazi.

Ombeni mpewe na risiti Kwa MAENDELEO ya MTAA wenu kesho mfanye usafi nyie wake zenu wameshindwa.
 
Dah umenikumbusha mwaka flani wapangaji tulipigwa faini ya Laki 2 ya uchafuzi wa mazingira. Wapangaji Tukagoma kulipa.

Tukapelekwa Ofisi ya Mtendaji wa Kata huko tukagoma kulipa, tukapelekwa Polisi mi nikalipa elfu 50, wenzangu wakagoma wakapelekwa mahakani, wakafungwa miezi 6 kila mmoja.
 
Duh.
 
Jnahangaika na faini ya serikali ya mtaa mwanaume serious. Ww uclipe hyo faini na wakaidi tena wazalau. Hao hawana mahakama wala jeshi. Mtaji wao ni uwoga wako. Ni mbwa asiye na meno wala kuchs anabweka tu
 
Hiyo serikali yenu ya mtaa ilishinda uchaguzi kiuhalali au waliiba kura ?
 
Wakubwa kwema.? Mimi na wapangaji wenzangu tumepigwa kiasi hicho Cha faini kwasababu ya kuto kuweka mazingira kwenye hali ya usafi.

Sisi wanaume wa hapa tunapo ishi ni watu wa kutoka asubuhi na kurudi usiku nyumbani uratibu wa maswala ya usafi yanafanywa na wanawake nyumbani.

Leo imetokea Kama zari nilikua nahisi uchovu bahati nzuri nilipo fika nikakutana na wenzagu wawili nao Leo wamerudi mapema, ndo kukutanishwa na hiyo kesi.

Wakuu nipeni mbinu ya kuchomoka kwenye faini hiyo.
Gentleman,
mbinu muhimu ni moja tu,
kua muaminifu Lipa faini kwa hiyari na kwa wakati muafaka kuepuka usumbufu na fedheha zaidi,

tunza mazingira na ufanye usafi bila shuruti 🐒
 
Wakubwa kwema.? Mimi na wapangaji wenzangu tumepigwa kiasi hicho Cha faini kwasababu ya kuto kuweka mazingira kwenye hali ya usafi.

Sisi wanaume wa hapa tunapo ishi ni watu wa kutoka asubuhi na kurudi usiku nyumbani uratibu wa maswala ya usafi yanafanywa na wanawake nyumbani.

Leo imetokea Kama zari nilikua nahisi uchovu bahati nzuri nilipo fika nikakutana na wenzagu wawili nao Leo wamerudi mapema, ndo kukutanishwa na hiyo kesi.

Wakuu nipeni mbinu ya kuchomoka kwenye faini hiyo.
Mbinu ni kulipa tu
 
Wadaini rist ya EFD baada ya malipo, mtakuwa mmemaliza,niliwahi kuwagomea ofisi ya kata Kwa kutaka kunipiga fine ya kutowapeleka ng'ombe wangu kuwaogesha kwenye josho,wakataka nilipe sh 50,000 ,nikasemavsawa ila nipeni EFD rist ,ukawa mwisho wa mchezo
 
Lipeni, ila muwape condition moja, watoe control number mlipe.
 
Back
Top Bottom