Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna control no hapo, walipe watu wakatafune vidali.Hiyo faini hela inaenda wapi? Inalipwa cash au mnapewa control namba?
Hii nchi kila mtu ana namna ya upigaji wake.
Duh.Dah umenikumbusha mwaka flani wapangaji tulipigwa faini ya Laki 2 ya uchafuzi wa mazingira. Wapangaji Tukagoma kulipa.
Tukapelekwa Ofisi ya Mtendaji wa Kata huko tukagoma kulipa, tukapelekwa Polisi mi nikalipa elfu 50, wenzangu wakagoma wakapelekwa mahakani, wakafungwa miezi 6 kila mmoja.
Mtapelekwa Mahakama ya Jiji!!Tusipo lipa itakuaje
Gentleman,Wakubwa kwema.? Mimi na wapangaji wenzangu tumepigwa kiasi hicho Cha faini kwasababu ya kuto kuweka mazingira kwenye hali ya usafi.
Sisi wanaume wa hapa tunapo ishi ni watu wa kutoka asubuhi na kurudi usiku nyumbani uratibu wa maswala ya usafi yanafanywa na wanawake nyumbani.
Leo imetokea Kama zari nilikua nahisi uchovu bahati nzuri nilipo fika nikakutana na wenzagu wawili nao Leo wamerudi mapema, ndo kukutanishwa na hiyo kesi.
Wakuu nipeni mbinu ya kuchomoka kwenye faini hiyo.
Mbinu ni kulipa tuWakubwa kwema.? Mimi na wapangaji wenzangu tumepigwa kiasi hicho Cha faini kwasababu ya kuto kuweka mazingira kwenye hali ya usafi.