Research Consultant
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 453
- 772
Karma is BitchMi naamini kila dhambi lazima uilipie.....ulipaji unaweza chelewa ila lazima muda ufike uwajibike.
Usichopenda kutendewa usimtendee mwenzio.... Usipende kuvuruga amani ya moyo ya MTU Mwingine kwa kumkomoa tu huku wewe ukiendelea kuenjoy.
Unadanganya kibiashara, kifedha, kifamilia, kijamii na kimapenz....pesa unakopa hulipi, unafanya biashara na MTU unadhurumu, unadanganyia pipi na kutishia visu watoto unawabaka, unamwahidi kumwoa unamwachia mimba unasepa, unaua wazazi kwa tamaa za Mali...
Unatelekeza familia sababu ya anasa.....unamwaminisha MTU mpo safari moja kumbe umeaminisha wengi-wastage of time(hili limenipata but time will tell).......Karma is real tusipojirekebisha wapendwa.
Karma is real mazeee