Mimi naamini kila dhambi lazima uilipie

Mimi naamini kila dhambi lazima uilipie

Dunia haijawahi kuwa na usawa katika ulipaji wa dhambi, tunaishi kwenye dunia ambayo mwenye uwezo fulani atamuonea asiyenao kwa namna fulanifulani.

Everything about Karma ni habari ya kuwatia faraja wasiokuwa na huo uwezo, kitu ambacho sio kibaya kwakua kinaepusha visasi.

Bimadam tunaua viumbe vingi sana ili tuish mbona hatupat janga lolote mawazo ya karma n ya kimaskin
 
Back
Top Bottom