MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,840
- 8,202
Kuhusu jambo linalotaka kufanyika la serikali kuuza hazina ya dhahabu na pesa kutumika kwenye miradi,
scenario ya Bwana Mkumbo inaingia akilini kuliko ya Bwana Gavana.
Huwezi kuja na maelezo kwamba ulijiwekea lengo na kinachozidi unaamua kukiuza kwa nini????
Kwa hiyo Bwana Gavana unatuambia kama lengo ni kuhifadhi kilo 200 nyie mmepata kilo 500 ,hizo kilo 300 hazitakiwi kuwepo hazina ,
JIvunzeni kwa USA mwaka wakati wa vita ya pili ya dunia alivyokusanya dhahabu zote za ulaya na yeye kuwapa silaha vita ilipoisha dhahabu za wakoloni walizokusanya huku Afrika zilikusanywa USA na hapo ndipo ikaja kutumika DOLA kama kuendesha dunia mpaka hivi leo.
TATIZO HAKUNA WASHAURI HUKO SERIKALINI ,WAZO HILI LA KUNUNUA DHAHABU JPM ALILISOMA HUMU JF NINA UHAKIKA WA ASILIMIA 100