Mimi naamini wanawake wa JF ni warembo

Badilisha imani yako, kwani JF ni kioo cha uhalisia.
 
Na mimi naamini wana sura ngumu kama kipago.

dodge
 
Kila mtu ni mrembo..
Ndio maana ukazaliwa, ikimaanisha aliyekuumba kaona umeumbwa ukaumbika. Bas tu ni percepciΓ³n zetu tu
Kwa mtazamo wangu sio watu wote warembo ila watu wote wako timilifu katika mapungufu yao kulingana na walivyoumbwa. Ndio hapo tutasema muumbaji hakosei kwa maana atakae mnyima sura ya kushangaza watu atampa kingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we bado mgeni sana humu,soma mchezo kwanza utalizwa achana nahizo avator!Tushawakimbia sana maeneo ya appointment,unatoa na betri kabisa...mwanamke hujui mbele wapi wala nyuma ni wapi
Duh
 
Acha nipite nitarudi baadae

GOD is GOOD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…