Mimi naamini wanawake wa JF ni warembo

Mimi naamini wanawake wa JF ni warembo

SHIMBA YA BUYENZE,
Kulima sio mpaka uchakae, tunalima kisasa😅...Unapiga maji fresh kupunguza joto halafu unaingia shamba kulitafuta jasho.Huko sijui Somanda, Nyamalapa, Itilima nina mashamba yangu tele.
 
Kulima sio mpaka uchakae, tunalima kisasa[emoji28]...Unapiga maji fresh kupunguza joto halafu unaingia shamba kulitafuta jasho.Huko sijui Somanda, Nyamalapa, Itilima nina mashamba yangu tele.
Hata ulime kisasa namna gani nusu saa kwenye palizi ya mpunga humalizi wewe. Tope kama lote. Mimaji pwaa...Ai swea indeed wallahi nusu saa utatoroka kimya kimya....[emoji16][emoji16]

Itilima nalimaga nyanya huko. Isije ikawa mashamba yetu yapo jirani ...
 
Hata ulime kisasa namna gani nusu saa kwenye palizi ya mpunga humalizi wewe. Tope kama lote. Mimaji pwaa...Ai swea indeed wallahi nusu saa utatoroka kimya kimya....[emoji16][emoji16]

Itilima nalimaga nyanya huko. Isije ikawa mashamba yetu yapo jirani ...
😅😅😅, bila shaka mashamba yapo jirani.
 
Mimi naamini kabisa humu wanawake wa JF ni warembo kwa kuangalia avatar zao tu inaonesha wengi ni macutee. Maana watu huweka avatar ya picha zinazoendana nao.
View attachment 1328421View attachment 1328422
Hizi showoffs, fake life and standards za mitandao ya kijamii zina madhara sana, kama hazikuletei frustrations mwenyewe binafsi, jua kuna kundi la vijana wadogo wa kike na kiume zinawafanya waimagine maisha yao kwa kukuangalia wewe. Tupunguze, hazina afya.
 
Unavyowaona wanawake barabarani ndivyo walivyo wanawake wa JF.Yaani mchanganyiko weupe,wanene ,wafupi,weusi,wembamba,wenye wezere,waliopigwa pasi n.k.Kitu cha msingi zingatia michango yao hapa JF!
 
Mimi wote niliowahi kukutana nao ni warembo.
 
Back
Top Bottom