Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ulime kisasa namna gani nusu saa kwenye palizi ya mpunga humalizi wewe. Tope kama lote. Mimaji pwaa...Ai swea indeed wallahi nusu saa utatoroka kimya kimya....[emoji16][emoji16]Kulima sio mpaka uchakae, tunalima kisasa[emoji28]...Unapiga maji fresh kupunguza joto halafu unaingia shamba kulitafuta jasho.Huko sijui Somanda, Nyamalapa, Itilima nina mashamba yangu tele.
😅😅😅, bila shaka mashamba yapo jirani.Hata ulime kisasa namna gani nusu saa kwenye palizi ya mpunga humalizi wewe. Tope kama lote. Mimaji pwaa...Ai swea indeed wallahi nusu saa utatoroka kimya kimya....[emoji16][emoji16]
Itilima nalimaga nyanya huko. Isije ikawa mashamba yetu yapo jirani ...
Karibu mkuu, wahitaji wa sh.ngapi?Mzuzu
Ukipandwa na nyege tu unavuta picha kuwa hatuna hizo pic ni zao za uhalisia dogo umepoteaMimi naamini kabisa humu wanawake wa JF ni warembo kwa kuangalia avatar zao tu inaonesha wengi ni macutee. Maana watu huweka avatar ya picha zinazoendana nao.
View attachment 1328421View attachment 1328422
Inaanzia 30Ya sh ngap ipoo?
30 unapata mzigo wako hadi mlangoni.Ni pamoja na delivery mimi? nipo Dasilamu
Hizi showoffs, fake life and standards za mitandao ya kijamii zina madhara sana, kama hazikuletei frustrations mwenyewe binafsi, jua kuna kundi la vijana wadogo wa kike na kiume zinawafanya waimagine maisha yao kwa kukuangalia wewe. Tupunguze, hazina afya.Mimi naamini kabisa humu wanawake wa JF ni warembo kwa kuangalia avatar zao tu inaonesha wengi ni macutee. Maana watu huweka avatar ya picha zinazoendana nao.
View attachment 1328421View attachment 1328422
Tatizo watu wabishi sana kuelewaKila mtu ni mrembo..
Ndio maana ukazaliwa, ikimaanisha aliyekuumba kaona umeumbwa ukaumbika. Bas tu ni percepción zetu tu
Ukija umenye kabisa uishie na maganda
[/QUOTMkuu
😅😅, mifugo nilonayo inakula ugali matembele tu..😀😀 si unafuga mkuu ili upate chakula cha mifugo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh..dhambi izowe bado mgeni sana humu,soma mchezo kwanza utalizwa achana nahizo avator!Tushawakimbia sana maeneo ya appointment,unatoa na betri kabisa...mwanamke hujui mbele wapi wala nyuma ni wapi
we hauhusiki Tina 🤭Duh..dhambi izo
[emoji23][emoji23]Ni wabovu, trust me
Sent from my iPhone using JamiiForums