Mimi naamini wanawake wa JF ni warembo

Jupiter gani planet au kuna mtaa unaitwa Jupiter dalisalama kama ni planet kwa taarifa ya chombo cha Voyager 1 kilichorushwa na NASA September 5, 1977 kujifunza sayari za mbali ikiwemo Jupiter taarifa iliopatikana hakuna uhai wala mrembo yeyote zaidi ya earth na kimefanya kazi zaidi ya miaka 42


Be serious madam huyo mdada ulimuona wapi au picha yake umeichomoa wapi [emoji3] ni mzuri kwakweli
Anapatikana Jupiter [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadada wabaya hawatumii JF, wote humi macuteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji28][emoji28][emoji28], naona wataka nikulime hadi wewe ndo uamini.
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]

Haya bana ila mi nasisitiza hakuna mkulima hapo. Angalia tu nguo alizovaa; na huo mkungu alivyoupakata. Kishikaji sana. Na jembe lenyewe yaani ni kama vile kuna mtu anamwelekeza likely mpiga picha.

Njoo huku Somanda huku uone wakulima tulivyo. Mikono yenyewe tu tukikushika kweli unajua huyu ni mkulima [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…