okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,641
Hi guys,
Bcoz of unknown reasons mm nahis Ben pol kama vile hayupo comfortable ku-date na ebitoke sababu nikiangalia body language ya benpol haiakisi kufuraishwa na uhusiano wake na ebitoke, sijui benpol kapewa masharti au...Yani benpol na umaarufu wote ule, wadada woote wazuri wa mjini kawaacha katoka na ebitoke, na ninavyofahamu sisi wanaume tunavopenda sifa ya kutoka na madem wazuri, au benpol ni kwamba domo zege au anapigwaga vibuti na madem wazur nn.
Maybe I'm just wrong, au kuna mwingine humu jaman mwenye mtizamo kama wangu..