Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mentor atakupiga virungu bure niache mieNa mimi nataka unipe![emoji24][emoji24][emoji24]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mentor atakupiga virungu bure niache mieNa mimi nataka unipe![emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji3][emoji3]heshima kwako Eve!Acha tu mpakwa mafuta apate Katerero
Mmhhh!!!Mentor atakupiga virungu bure niache mie
Na mimi nataka katerero!!![emoji24][emoji24][emoji24]Mentor atakupiga virungu bure niache mie
Unavyomupa-hope" nadhani ndio unatengeneza mazingira ya kumuumiza vibaya.Mpe ma-hope na yeye ajione binadamu baadae kistaarabu atajiongeza.
Ni sawa na wanawake tunavyowatongoza kujibiwa shortcut ni mbaya ila mtu ukienda siku ya kwanza akakupokea ya pili akakuambia anamtu unafarijika.
BTW, anything can be anything when happens anything.
Nahisi benpol ana msongo kama wa godzila na jux pia kwa mbali, na hii imejitokeza baada ya ben pol kufarakana na mama mtoto(latifa).Publicity stunt inawezekana
Ajabu Benpol kazaa na mdada mzuri sana anaitwa Latifa..
[emoji3][emoji3][emoji3]umeshindikana mkuuUpo tayari kuwekeza kwangu au kwenye avatar?
Hi guys,
Bcoz of unknown reasons mm nahis Ben pol kama vile hayupo comfortable ku-date na ebitoke sababu nikiangalia body language ya benpol haiakisi kufuraishwa na uhusiano wake na ebitoke, sijui benpol kapewa masharti au...Yani benpol na umaarufu wote ule, wadada woote wazuri wa mjini kawaacha katoka na ebitoke, na ninavyofahamu sisi wanaume tunavopenda sifa ya kutoka na madem wazuri, au benpol ni kwamba domo zege au anapigwaga vibuti na madem wazur nn.
Maybe I'm just wrong, au kuna mwingine humu jaman mwenye mtizamo kama wangu..
Wale hawadate wanatengeneza headline waandikweMkuu wewe ni mtaalamu wa saikolojia mpaka umeona body language ya Bentoke haipo sawa?
Eeh huyo ndo shemeji akoMmhhh!!!
Kumbe?
Keyon unachosema ni sahihiAtamwacha lakini hawezi kumwacha kama utakavyo wewe, atamwacha kisiasa.
Kwa kifupi Ben katumia busara, dem hadi anakutongoza kwenye media halafu umkatae itakuwa kumdhalilisha.
Unavyomupa-hope" nadhani ndio unatengeneza mazingira ya kumuumiza vibaya.
Mabinti wengi huwa na majibu ya shortcut na dhihaka na yanaaumiza kweli Kweli lakini lazima maisha ya songe mbele... majibu ya kistaarabu huwa ni kwa mabinti/Wanawake wachache.
Hivyo kumkataa mtu kama Moyo wako hauridhii kiustaarabu na kwa upana zaiidi naona ni vyema zaidi Kuliko kumpotezea muda.
Twende kanisaidie[emoji23][emoji23][emoji23]Keyon unachosema ni sahihi
Ila kama ni mimi ningemkataa kibusara. [emoji116]
Achana naye huyo zaidi anatafuta kick kupitia kwako. Mpotezee usije ukapigwa ban tena nitakumissTwende kanisaidie[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahhahaha kwa hiyoye ebitoke mi ben po,njoo kule basi pAchana naye huyo zaidi anatafuta kick kupitia kwako. Mpotezee usije ukapigwa ban tena nitakumiss