Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Mbona kabinti karembo sana.Ebitoke sio mrembo kabisaaaaaa...
Alafu bado mshamba mnoo.. mporipori sana, Ben pol piga chini tafuta demu mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kabinti karembo sana.Ebitoke sio mrembo kabisaaaaaa...
Alafu bado mshamba mnoo.. mporipori sana, Ben pol piga chini tafuta demu mwingine
Yap ni Kiki tu na Kukuza soko lao kina Bentoke.Publicity stunt inawezekana
Ajabu Benpol kazaa na mdada mzuri sana anaitwa Latifa..
Mm bado haijaniingia akilini hii kituAtamwacha lakini hawezi kumwacha kama utakavyo wewe, atamwacha kisiasa.
Kwa kifupi Ben katumia busara, dem hadi anakutongoza kwenye media halafu umkatae itakuwa kumdhalilisha.
Ni vibaya saana mwanaume kutongozwa halafu ukatae. Toa ushirikiano japo kidogo.
Ni sawa na mshikaji anajipendekeza kwako halafu unamkimbia.
Sina uhakika na unachosema kuna mtu anaweza kukuonesha anakupenda ila doh moyo ukakataa kabsa najua uwez sema directly lakn atajua tuNi vibaya saana mwanaume kutongozwa halafu ukatae. Toa ushirikiano japo kidogo.
Ni sawa na mshikaji anajipendekeza kwako halafu unamkimbia.
Unampokea kama binadamu kisha anaondoka kimya kimya. Kumbuka amekutongoza kwa publicSina uhakika na unachosema kuna mtu anaweza kukuonesha anakupenda ila doh moyo ukakataa kabsa najua uwez sema directly lakn atajua tu
Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
Duh public hatari nachukua namba mengine tutajuana badae, bwahahahahaUnampokea kama binadamu kisha anaondoka kimya kimya. Kumbuka amekutongoza kwa public