Hapana si vibaya, kama unaona Hisia zako za mahaba juu yake ziko mbali au Moyo hauridhiki kwanini ukubali kuwa naye...?Ni vibaya saana mwanaume kutongozwa halafu ukatae. Toa ushirikiano japo kidogo.
Ni sawa na mshikaji anajipendekeza kwako halafu unamkimbia.
Mpe ma-hope na yeye ajione binadamu baadae kistaarabu atajiongeza.Hapana si vibaya, kama unaona Hisia zako za mahaba juu yake ziko mbali au Moyo hauridhiki kwanini ukubali kuwa naye...?
Huoni kama utaumiza hisia zake mbeleni...?
Mtu bora kuwa muwazi ili kumuepesha na mengi.
Evelyn salt ako kaavatar kako vepe ni PM basi nipo tayari kuwekezaAcha tu mpakwa mafuta apate Katerero
Harafu katerero yenyewe kwenye "silidi". Sipati picha borehole itakavyorusha fresh waterAcha tu mpakwa mafuta apate Katerero
Hivi ni kweli kuwa wewe huwa unampa Mentor katerero?[emoji30][emoji30][emoji30]Acha tu mpakwa mafuta apate Katerero
Mentor sio Katerero tu nampa hadi tetemeko, utuache aseee 😀Hivi ni kweli kuwa wewe huwa unampa Mentor katerero?[emoji30][emoji30][emoji30]
Upo tayari kuwekeza kwangu au kwenye avatar?Evelyn salt ako kaavatar kako vepe ni PM basi nipo tayari kuwekeza
Na mimi nataka unipe![emoji24][emoji24][emoji24]Mentor sio Katerero tu nampa hadi tetemeko, utuache aseee 😀