Mimi nahisi Ben Pol anajifosi ku-date na Ebitoke

Unavyomupa-hope" nadhani ndio unatengeneza mazingira ya kumuumiza vibaya.

Mabinti wengi huwa na majibu ya shortcut na dhihaka na yanaaumiza kweli Kweli lakini lazima maisha ya songe mbele... majibu ya kistaarabu huwa ni kwa mabinti/Wanawake wachache.

Hivyo kumkataa mtu kama Moyo wako hauridhii kiustaarabu na kwa upana zaiidi naona ni vyema zaidi Kuliko kumpotezea muda.
 
Publicity stunt inawezekana

Ajabu Benpol kazaa na mdada mzuri sana anaitwa Latifa..
Nahisi benpol ana msongo kama wa godzila na jux pia kwa mbali, na hii imejitokeza baada ya ben pol kufarakana na mama mtoto(latifa).

Hayuko normal kabisa ana matukio ya akina harmorapa sana siku izi.
 
Atamwacha lakini hawezi kumwacha kama utakavyo wewe, atamwacha kisiasa.

Kwa kifupi Ben katumia busara, dem hadi anakutongoza kwenye media halafu umkatae itakuwa kumdhalilisha.
 

nilizungumza hiki kitu humu, baadhi ya malofa wakanishambulia
 
Apende asipende ataoa tu huwezi kumbusu mhaya halafu kesho usirudi tena. Halafu kauli ya kusema wapo wazuri kukazidi kale kadada naona uzushi tu leteni hata mmoja tumthaminishe na huyu mhaya. Acheni wivu ataoa tu. Kutongozwa raha sana.
 
Kuwa mwanamke kweli si kazi rahisi mana mitongozo ni sehemu ya maisha ya kila siku Benpol kidogo tu kaingia kingi..hehe hajui hata kusema No...
 
Atamwacha lakini hawezi kumwacha kama utakavyo wewe, atamwacha kisiasa.

Kwa kifupi Ben katumia busara, dem hadi anakutongoza kwenye media halafu umkatae itakuwa kumdhalilisha.
Keyon unachosema ni sahihi
Ila kama ni mimi ningemkataa kibusara. [emoji116]
 
KUKAA KUJADILI PERSONAL ISSUES NI DALILI YA KUKOSA KAZI ZA KUFANYA... WAJINGA, WAPUMBAVU, MALOFA, WASENGE NA MACHIZI NDIO HUJADILI MAISHA YA WATU...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…