Mimi nahisi Ben Pol anajifosi ku-date na Ebitoke

Huyu jamaa alikuwa anademu mkali tuu sasa sijui imekuwaje mbaka kaenda kwa Huyo mtu
 
HV ni kweli wabongo hatujui kutofautisha mapenzi real na kiki za mitandaoni, yaani toka mwanzo najua ni kiki either kwa ajili ya wimbo wa Ben au kumpaisha ebitoke

Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
 
Atamwacha lakini hawezi kumwacha kama utakavyo wewe, atamwacha kisiasa.

Kwa kifupi Ben katumia busara, dem hadi anakutongoza kwenye media halafu umkatae itakuwa kumdhalilisha.
Mm bado haijaniingia akilini hii kitu

Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
 
We mzur? mapenz n mapenz kujitunza na kujiheshmu

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Picha wakuu,,wengine tupo huku koromije hatumjui huyo biteko sijui
 
Ni vibaya saana mwanaume kutongozwa halafu ukatae. Toa ushirikiano japo kidogo.

Ni sawa na mshikaji anajipendekeza kwako halafu unamkimbia.
Sina uhakika na unachosema kuna mtu anaweza kukuonesha anakupenda ila doh moyo ukakataa kabsa najua uwez sema directly lakn atajua tu

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
Sina uhakika na unachosema kuna mtu anaweza kukuonesha anakupenda ila doh moyo ukakataa kabsa najua uwez sema directly lakn atajua tu

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
Unampokea kama binadamu kisha anaondoka kimya kimya. Kumbuka amekutongoza kwa public
 
Unampokea kama binadamu kisha anaondoka kimya kimya. Kumbuka amekutongoza kwa public
Duh public hatari nachukua namba mengine tutajuana badae, bwahahahaha

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
Mapenzi hayazuiliki,ebitoke kazimia ben,icpokuwa ben yawezekana ayuko nae serious bali ni kumfanya eb awe huru tu kwa muda na nafsi yake iridhike(nanena haya kama itakuwa hili jambo na kweli na si kimchezo cha kiki),kama kiki hamna la kuwekea mkwazo huo mchezo wao.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…