Habari wana JF
Mimi nipo KILIMANJARO kikazi kwa mda wa miezi 6 nakaa Moshi town maeneo ya Soweto sasa wadau kilichonileta hapa ni hiki:
Nina msichana wangu hivi anasoma chuo cha UALIMU GREEN BIRD COLLEGE mwaka wa 3, kipo Mwanga Kilimanjaro. Alinambia akifunga shule niende nikamchukue chuoni kwao nikamuambia nitakosa nafasi siwezi kuja kwa sababu ni mid day akalalamika wee baada ya kummbembeleza sana akakubali.
Jumatano ndo wamefunga shule nikamuambia utaondoka shuleni saa ngapi? Akanambia asubuhi saa 4 ikafika saa 4 siku ya Jumatano nikampigia simu nikakuta ipo busy takribani dakika kama 20 hivi inatumika na baada ya hapo nikapiga tena ikawa haipatikani nikapiga simu ikawa haipatika mpaka saa 12 jioni ndo ananitumia text ndo nipo kwenye gari anarudi kwao Mwika. Nikamuuliza mbona simu yako ilikua haipatikani akanijibu alikua busy serious? Na hata siku moja haijawahi tokea yeye kuzima simu mda mrefu kiasi hicho na huwa akizima simu ananiambiga.
Wadau mimi mawazo yangu nahisi nimechapiwa kabisaa aisee naumia roho sema ndo ishatokea wewe unahisi nini? Au ni mawazo yangu au ninachikiwaza ni kweli?.Daaah! kinachoniuma mtoto ni mzuri hatarii. Akili yangu inawaza tuu kumuacha asiponambia ukweli anakuja kwangu Jumapili kulala kwa mda wa siku 3 then aende Dar es Salaam, Jumatano ndo ataondoka. Mimi nimemruhusu tu aje ila roho inauma sana na mpaka sasa sija muonyesha ishara yoyote kama niko na hasira nipo kawaida tu ila ndo hivo roho inauma.