Mimi nahisi nimechapiwa wewe je?

Mimi nahisi nimechapiwa wewe je?

Hacheni mambo ya kitoto, kwanza ulimkuta na bikira?
Unadhani simu yake hauwezi kuwa busy kwa sababu yako, usiweke kwenye mazingira ya kujiumiza moyo kwa mambo usiyo na uhakika nayo.
Ukiwa na mke/mpenzi jipange kisaikolojia kukubali kitakachotokea mbele ya safari.
 
mkuu kizuri kula na mwenzio... sema wewe akija tumia condom kula mzigo wako kwa furaha usiwaze baada ya hapo we mwache aende dar aje huku wamtafune vizuri tu huku wewe ukiendelea kujiweka pembeni kiaina

Huu ushauri bila kuwa na kichwa kinachowaza hela hautejelezeki zaidi utakuwa msumari wa moto kwenye kidonda kibichi.
 
Habari wana JF

Mimi nipo KILIMANJARO kikazi kwa mda wa miezi 6 nakaa moshi town maeneo ya soweto sasa wadau kilichonileta hapa ni hiki:
Nina msichana wangu hivi anasoma chuo cha UALIMU GREEN BIRD COLLEGE mwaka wa 3kipo mwanga kilimanjaro alinambia akifunga shule niende nikamchukue chuoni kwao nikamuambia nitakosa nafasi siwezi kuja kwa sababu ni mid day akalalamika weeee baada ya kummbembeleza sana akakubali.

Jumatano ndo wamefunga shule nikamuambia utaondoka shuleni saa ngapi?akanambia asubuhi saa 4 .Ikafika saa 4 siku ya jumatano nikampigia cm nikakuta ipo busy takribani dakika kama 20 hivi inatumika na baada ya hapo nikapiga tena ikawa haipatikani nikapiga cm ikawa haipatika mpaka saa 12 jioni ndo ananitumia text ndo nipo kwenye gari anarudi kwao Mwika. Nikamuuliza mbona cm yako ilikua haipatikani akanijibu alikua busy serious????? na hata siku moja haijawahi tokea yeye kuzima cm mda mrefu kiasi hicho na huwa akizima cm ananiambiga.


Wadau mimi mawazo yangu nahisi nimechapiwa kabisaa aisee naumia rohoo sema ndo ishatokea wewe unahisi nini? au ni mawazo yangu au ninachikiwaza ni kweli?.Daaah kinachoniuma mtoto ni mzuri hatarii.Akili yangu inawaza tuu kumuacha asiponambia ukweli anakuja kwangu jumapili kulala kwa mda wa siku 3 then aende dar es salaam jumatano ndo ataondoka.Mimi nimemruhusu tuu aje ila roho inauma saana na mpaka sasa sija muonyesha ishara yoyote kama niko na hasira nipo kawaida tuu ila ndo hivo roho inauma.
Ulimkuta Bikra?we akija mgegede kibabe acha wivu mkomoe kwa kumpiga shoo ya kibabe!
 
Unamwonea wivu hawara? Kwani umemwoa mpaka uumie? Papuchi kagawa yeye, wewe unaumia moyo inaingia akilini kweli? Fanya kazi tafuta pesa acha kulialia na zinaa.
 
Sina uhakika kama umechapiwa ama lah, ila nina uhakika unastahili kuchapiwa. Sababu uliyotoa kuwa inakupa wasi wasi inaonyesha kutojiamini. Subiri sasa akakutane na wazee wa viduku, skinny colorful pants, na "ubuyu"...lazima usare arif.
 
Kuchapiwa ni siri za ndani! Uchune tu au na wewe tafuta mnyonge ummegee
 
Digital Generation bwana... mara ijayo basi mtrack through her cell phone. Kuna apps ambazo zinaweza ku-triangulate location yake mahala popote alipo. Mpaka kitandani kwa mchepuo wake yaani
 
mkuu kizuri kula na mwenzio... sema wewe akija tumia condom kula mzigo wako kwa furaha usiwaze baada ya hapo we mwache aende dar aje huku wamtafune vizuri tu huku wewe ukiendelea kujiweka pembeni kiaina
Mmmngh!…miss chaga
 
Akija atakueleza sababu ya kuzima cm.
Hapa watakupa majibu ya mzaha mana hakuna anayejua ukweli.
 
Haya mambo ya kufuatiliana haya hata kama mtu hana nia mbaya utaishia kuumia tu.
 
Umechapiwa bwa mdogo. Wanasemaga ni siri ya ndani hiyo. Piga moyo konde maisha yasonge
 
Back
Top Bottom