Mimi nalala, kesho mtaniambia mkesha wa mwaka mpya ulikuwaje

Nimefunga mwaka kwa pande mbili za shilingi- very sad and at the same time very happy.

Am glad nimevuka salama.

Heri ya mwaka mpya jf
Pande mbili tena😳...but hongera kwa kuvuka mkuu
 

Mie miaka mingi tu inanikutiaga kitandani nishalala naota hasa!! Ila mwaka huu nimeshtuka saa tisa nikasal! Labda utakua mwaka wa baraka
 
πŸ˜‚πŸ˜‚na katerero juu....aisee🚢🚢
Baba Giles alipata mahangaiko sipati picha.Mahangaiko oyeeee!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Depression eti sonona sijui...vyote vilimwisha...saivi anaenjoy tu.Kanizidi six years ni halali kumfanyia haya kweli? Au namwonea jamaa?
Mvunje kiuno kwa mitindo hadi alale nyumbani wiki asingizie anaogopa kutoka nje ana madeni.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚maana nainyanyulia taratibu na kuimezesha taratibu then naipigiza fast...hapo ndo namsikia akipiga ukunga....wazungu nje.Mwache akizimia,atajijuaπŸ˜”
Mfinyie kwa ndani hadi akohoe kisugunsu(kisukuma) na kukusifu kwa Kinyachusa(Kinyakyusa)!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…