Mimi nalala, kesho mtaniambia mkesha wa mwaka mpya ulikuwaje

Mimi nalala, kesho mtaniambia mkesha wa mwaka mpya ulikuwaje

2023 mtaniambia mliyoyafanya kuufungua mwaka 2023, namaanisha mtaniambia mkesha wa mwaka mpya ulikuwaje.

Naombeni mfungue mwaka kiutakatifu, mkiuchafua kwa shahawa zenu hizo basi mjiandae kuuanza mwaka vibaya, please ni ruksa kwa waliooana tu, nanyi mkumbuke kusali kabla ya mnyanduo.[emoji120][emoji109][emoji137]
mkuu mwaka umeenda fyongo

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Happy new year to you too my love❤...ukawe mwaka wenye mafanikio kwako cute
Same to you and your beloved ones. Furaha, afya njema na mafanikio visipungue kwako daima.
 
Bon Ane bandeko yangu mimi.Niko na mapendo ya mingi sana juu yenu.Mwaka mupya ukuwe ya muzuri kwenu bhote!Bon Ane!@Khantwe
 
Kwa mwaka mzima, unashindwa kuvumilia mpaka Saa sita uone mwaka mpya unang'ang'ania kulala. Vitu vya kushuhudia ni Bora kuliko vya kuambiwa.
 
Pande mbili tena😳...but hongera kwa kuvuka mkuu
Yes pande mbili-najua itakuwa ngumu sana kunielewa but am glad nimevuka salama with happiness vibes though deep inside sijatulia
 
Hakuna kipya, watu ni wale wale, tabia ni zile zile, mambo ni Yale yale...

Njaa zipo pale pale...
 
Back
Top Bottom