Mimi nalala, kesho mtaniambia mkesha wa mwaka mpya ulikuwaje

Mimi nalala, kesho mtaniambia mkesha wa mwaka mpya ulikuwaje

Mfinyie kwa ndani hadi akohoe kisugunsu(kisukuma) na kukusifu kwa Kinyachusa(Kinyakyusa)!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚ile nategea tukiwa missionary style....akianza kaza misuli nami nakaza kiungo(kufinyia) ....ninachompendea zaidi...anaongea vizuri lugha yangu( nyakyu)
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ile nategea tukiwa missionary style....akianza kaza misuli nami nakaza kiungo(kufinyia) ....ninachompendea zaidi...anaongea vizuri lugha yangu( nyakyu)
Mmekutana mtu na gudada gwake!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kichwa na mikono vinashika chini kiuno juu...wewe unasimama kuifuata kujipigia
kumbe mm bado mdogo sikujua kama kuna k2 cha namna hii btw Kapicha ka kusindikiza na kukazia komenti yako kako wapi mkuu...
 
πŸ™†hivi tabia yako ile ya ukali uliacha? Mungu wangu! Unajua mambo haya baadae unakuja sema bora usingle.
Nani anakuwaga mkali kwa mke mnyenyekevu,msikivu na mtuliza moyo wa nafsi ya mume?Hayupo nakuhakikishia.Ukurya pembeni mbele ya mama Wegesa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nani anakuwaga mkali kwa mke mnyenyekevu,msikivu na mtuliza moyo wa nafsi ya mume?Hayupo nakuhakikishia.Ukurya pembeni mbele ya mama Wegesa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nina hasira sana ...ndo udhaifu wangu.Nafanyaje? Yaan nina hasira sana kwa kweli.
 
2023 mtaniambia mliyoyafanya kuufungua mwaka 2023, namaanisha mtaniambia mkesha wa mwaka mpya ulikuwaje.

Naombeni mfungue mwaka kiutakatifu, mkiuchafua kwa shahawa zenu hizo basi mjiandae kuuanza mwaka vibaya, please ni ruksa kwa waliooana tu, nanyi mkumbuke kusali kabla ya mnyanduo.πŸ™πŸ‘ŠπŸ™‹
Tuko pamoja kwanza Mimi nimeamka saa mbili hii hata sijui Mambo ya mikesha nk
 
Back
Top Bottom