Have a very good beggining of a new year boss!We,the family,love you very much!Amina,let me trust on him.Asante kwa muda wako mkuuππ
mkuu mwaka umeenda fyongo2023 mtaniambia mliyoyafanya kuufungua mwaka 2023, namaanisha mtaniambia mkesha wa mwaka mpya ulikuwaje.
Naombeni mfungue mwaka kiutakatifu, mkiuchafua kwa shahawa zenu hizo basi mjiandae kuuanza mwaka vibaya, please ni ruksa kwa waliooana tu, nanyi mkumbuke kusali kabla ya mnyanduo.[emoji120][emoji109][emoji137]
Ulikuwa unaogopa kufa?πππcha ajabu nilikuwa macho mkuu
Same to you and your beloved ones. Furaha, afya njema na mafanikio visipungue kwako daima.Happy new year to you too my loveβ€...ukawe mwaka wenye mafanikio kwako cute
Mambo ya Miaka Ni namba tuu yasikutisheπππniliogopa nisije jikuta ni 2024 mkuu
ndobhwike nkamuNdobhwike ghwangu....asajigwe untufighwa.Ndagha ulobhwike nungwe mama!
@espyTulale mwaya.
Yes pande mbili-najua itakuwa ngumu sana kunielewa but am glad nimevuka salama with happiness vibes though deep inside sijatuliaPande mbili tenaπ³...but hongera kwa kuvuka mkuu