Mimi naona haiko sawa, wewe je?

Lakini jana basi lao lilikuwa bandari kuwapokea wakapokewa na mashabiki kwa jagi lililofanana na kombe huku wakizomewa. Labda hiyo picha siyo ya bandarini
 
Hadi kina mayele wamekula boda alafu wanajinasibu wa kimataifa, hiz aibu ni bora lile dcm lingekujakuwapakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…