Mimi napinga ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa sababu hizi

Mimi napinga ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa sababu hizi

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
China anafahamu kuwa bei ya uzalishaji nchini kwake zinapanda hivyo muda si mrefu uzalishaji unaweza kuhamia nchi zingine. Hatakuwa mzalishaji mkubwa duniani siku zote. Anajenga hizo bandari na eneo la uzalishaji/viwanda ili kuhakikisha kuwa bado wanaendelea kuzalisha.

Tukiwa na bandari ya wachina hapo na eneo lao la viwanda tusahau kuja kuwa taifa la viwanda. Tutaendelea kuwa wauza malighafi hadi kiama. Magufuli aliona mbali kuukataa huo mradi.
 
Nii Imani yangu kuwa wewe ni mchato hivyo najua ulitamani iendelezwe Ile ya mwaloni🤔.
 
China anafahamu kuwa bei ya uzalishaji nchini kwake zinapanda hivyo muda si mrefu uzalishaji unaweza kuhamia nchi zingine. Hatakuwa mzalishaji mkubwa duniani siku zote. Anajenga hizo bandari na eneo la uzalishaji/viwanda ili kuhakikisha kuwa bado wanaendelea kuzalisha...
Hii inaonyesha jinsi gani upeo wako upo chini. Na usinilaumu kwa kusema hivi kwa sababu ifuatayo.

Wewe umeandikka "...unapinga ujenzi wa bandari ya Bagamoyo...", halafu unaeleza habari za waChina?

Je, hiyo bandari haiwezi kujengwa na sisi wenyewe, au tukashirikiana na watu wengine au hata hao hao wachina kwa kuzingatia maslahi yetu wenyewe?

Mbona hili swala la Bandari mnalifanya kana kwamba ni mchina pekee ndiye anayetaka hiyo bandari?

Ngoja nikwambie ukweli: sisi wenyewe, Tanzania tunaihitaji sana hiyo bandari mara mia zaidi ya huyo mchina.

Sasa anza kutafuta sababu zetu za kuitaka hiyo bandari kiasi hicho, kama umenielewa katika haya niliyokuandikia hapa.
 
China anafahamu kuwa bei ya uzalishaji nchini kwake zinapanda hivyo muda si mrefu uzalishaji unaweza kuhamia nchi zingine. Hatakuwa mzalishaji mkubwa duniani siku zote. Anajenga hizo bandari na eneo la uzalishaji/viwanda ili kuhakikisha kuwa bado wanaendelea kuzalisha...
Unawaza kuwa na viwanda,unateknolojia?.By the way viwanda ni mtazamo wa kizamani dunia inahamia kwenye digital.
 
Hela achana nayo kabisa.

Lisu alipohongwa hela akasahau kama alishawahi kuwa mtetezi mkubwa wa madini ya Tanzania.

Kwa sababu ya kuhongwa waziri Mwambe amemwaibisha Kikwete kuwa aliweka jiwe la msingi bila kuwa na mkataba wowote.
 
China anafahamu kuwa bei ya uzalishaji nchini kwake zinapanda hivyo muda si mrefu uzalishaji unaweza kuhamia nchi zingine. Hatakuwa mzalishaji mkubwa duniani siku zote. Anajenga hizo bandari na eneo la uzalishaji/viwanda ili kuhakikisha kuwa bado wanaendelea kuzalisha...
𝑴𝒂𝒈𝒖𝒇𝒖𝒍𝒊 𝒂𝒍𝒊𝒐𝒏𝒂 𝒎𝒃𝒂𝒍𝒊 𝒘𝒂𝒑𝒊?? 𝑲𝒂𝒎𝒂 𝒏𝒄𝒉𝒊 𝒕𝒖𝒌𝒖𝒃𝒂𝒍𝒊𝒂𝒏𝒆 𝒏𝒂 𝒖𝒌𝒘𝒆𝒍𝒊 𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒕𝒖𝒏𝒂𝒉𝒊𝒕𝒂𝒋𝒊 𝒃𝒂𝒏𝒅𝒂𝒓𝒊 𝒌𝒖𝒃𝒘𝒂... 𝒀𝒂𝒂𝒏𝒊 𝒌𝒂𝒃𝒍𝒂 𝒚𝒂 𝒏𝒅𝒆𝒈𝒆 𝒏𝒂 𝒎𝒂𝒃𝒘𝒂𝒘𝒂 𝒚𝒂 𝒖𝒎𝒆𝒎𝒆 𝒔𝒊𝒋𝒖𝒊 𝒌𝒖𝒉𝒂𝒎𝒊𝒂 𝑫𝒐𝒅𝒐𝒎𝒂... 𝒕𝒖𝒍𝒊𝒑𝒂𝒔𝒘𝒂 𝒕𝒖𝒘𝒆𝒌𝒆𝒛𝒆 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝒓𝒆𝒍𝒊 𝒏𝒂 𝒃𝒂𝒏𝒅𝒂𝒓𝒊!
𝑯𝒂𝒕𝒖𝒋𝒂𝒄𝒉𝒆𝒍𝒆𝒘𝒂!!
 
Kuna mambo lazima tuyakubali kwanza ndio tupate ukombozi mara ya pili na huu ndio utakuwa ukombozi sahihi sasa..

Lazima mjue nyinyi ni waAfrica na kwenu ni Africa na kila Mwafrica kutoka Africa ni ndugu yako, Africa inapaswa kujengwa na waAfrica, WaAfrica wanapaswa kuwa dini aka imani zao watakazoziishi.....

Mpaka sasa WaAfrica hatuna kila kitu zaidi ya unafiki tu...
 
Hii inaonyesha jinsi gani upeo wako upo chini. Na usinilaumu kwa kusema hivi kwa sababu ifuatayo.

Wewe umeandikka "...unapinga ujenzi wa bandari ya Bagamoyo...", halafu unaeleza habari za waChina...
Umeanza vizuri, nikajua unahoja ya msingi!
 
Unawaza kuwa na viwanda,unateknolojia?.By the way viwanda ni mtazamo wa kizamani dunia inahamia kwenye digital.
Utavaa digital? Utakula digital? Ukitaka kwenda kijijini kwenu utapanda digital?
 
Magu vs sami ila wananchi tunakaz
Pic%20Layer_2021111311215721.jpg
 
Back
Top Bottom