Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hii inaonyesha jinsi gani upeo wako upo chini. Na usinilaumu kwa kusema hivi kwa sababu ifuatayo.China anafahamu kuwa bei ya uzalishaji nchini kwake zinapanda hivyo muda si mrefu uzalishaji unaweza kuhamia nchi zingine. Hatakuwa mzalishaji mkubwa duniani siku zote. Anajenga hizo bandari na eneo la uzalishaji/viwanda ili kuhakikisha kuwa bado wanaendelea kuzalisha...
Unawaza kuwa na viwanda,unateknolojia?.By the way viwanda ni mtazamo wa kizamani dunia inahamia kwenye digital.China anafahamu kuwa bei ya uzalishaji nchini kwake zinapanda hivyo muda si mrefu uzalishaji unaweza kuhamia nchi zingine. Hatakuwa mzalishaji mkubwa duniani siku zote. Anajenga hizo bandari na eneo la uzalishaji/viwanda ili kuhakikisha kuwa bado wanaendelea kuzalisha...
Mfano mdogo tu kila kitu feki ni Mchina,halafu utegemee Nini?Hakuna sehemu yoyote ambayo China imewekeza alafu hiyo sehemu wakaona faida.
π΄πππππππ ππππππ πππππ ππππ?? π²πππ ππππ πππππππππππ ππ ππππππ ππππ ππππππππππ ππππ πππ πππππ... πππππ πππππ ππ ππ πππ ππ πππππππ ππ πππππ πππππ πππππππ π«ππ πππ... πππππππππ ππππππππ ππππππ ππππ ππ ππππ πππ!China anafahamu kuwa bei ya uzalishaji nchini kwake zinapanda hivyo muda si mrefu uzalishaji unaweza kuhamia nchi zingine. Hatakuwa mzalishaji mkubwa duniani siku zote. Anajenga hizo bandari na eneo la uzalishaji/viwanda ili kuhakikisha kuwa bado wanaendelea kuzalisha...
Umeanza vizuri, nikajua unahoja ya msingi!Hii inaonyesha jinsi gani upeo wako upo chini. Na usinilaumu kwa kusema hivi kwa sababu ifuatayo.
Wewe umeandikka "...unapinga ujenzi wa bandari ya Bagamoyo...", halafu unaeleza habari za waChina...
Utavaa digital? Utakula digital? Ukitaka kwenda kijijini kwenu utapanda digital?Unawaza kuwa na viwanda,unateknolojia?.By the way viwanda ni mtazamo wa kizamani dunia inahamia kwenye digital.
Sorry una vinasaba na dj don,??Magu vs sami ila wananchi tunakazView attachment 2023570