Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
๐๐Bwana weee mambo hata hayaeleweki huku , twende tu mpaka tuje tufikie kama Tunisia (Jasmine revolution mwaka 2011)
Nenda Google andika Jasmine revolution 2011 ndio utaelewa ninachomaanisha๐๐
Sawa mkuuNenda Google andika Jasmine revolution 2011 ndio utaelewa ninachomaanisha
Mimi nashauri CCM wenye madaraka watupe katiba alafu kuwe na kifungu cha kuwalinda waliokuwa wameuwa raia, walio tufisadi yani tuanze upya tujdai kama hakukuwa na kitu yan tuanze upya kama taifa jipya yan tunaashumu tulikuwa utumwani sasa tuko huru kama vile ambavo tulipewa uhuru na wakoloni , kwan tuliwafunga wakolni? bs hata mauwaji yatupatie katiba alafu waeke kipengele bs cha kuwalinda ๐ก
Haya ni maoni nimepokea kutoka Kwa mdau,wewe je unasemaje!?View attachment 3664339
Bwana weee mambo hata hayaeleweki huku , twende tu mpaka tuje tufikie kama Tunisia (Jasmine revolution mwaka 2011)
Hakuna kitu kama hicho, hata huko south africa, kipindi cha makaburu,waliwajibishwa wauaji!Mimi nashauri CCM wenye madaraka watupe katiba alafu kuwe na kifungu cha kuwalinda waliokuwa wameuwa raia, walio tufisadi yani tuanze upya tujdai kama hakukuwa na kitu yan tuanze upya kama taifa jipya yan tunaashumu tulikuwa utumwani sasa tuko huru kama vile ambavo tulipewa uhuru na wakoloni , kwan tuliwafunga wakolni? bs hata mauwaji yatupatie katiba alafu waeke kipengele bs cha kuwalinda ๐ก
Haya ni maoni nimepokea kutoka Kwa mdau,wewe je unasemaje!?View attachment 3664339
Timbwili la Tunisia lilianzishwa na Mmachinga muuza matunda.mpaka leo jamaa amebaki kuwa shujaa na mwanamapinduzi๐๐๐
Nchi ili ianze upya inatakiwa kwanza ipate uhuru wa kweli sio kisiasa mkoloni akuachia nchi tulidanganywa na wazeeMimi nashauri CCM wenye madaraka watupe katiba alafu kuwe na kifungu cha kuwalinda waliokuwa wameuwa raia, walio tufisadi yani tuanze upya tujdai kama hakukuwa na kitu yan tuanze upya kama taifa jipya yan tunaashumu tulikuwa utumwani sasa tuko huru kama vile ambavo tulipewa uhuru na wakoloni , kwan tuliwafunga wakolni? bs hata mauwaji yatupatie katiba alafu waeke kipengele bs cha kuwalinda ๐ก
Haya ni maoni nimepokea kutoka Kwa mdau,wewe je unasemaje!?View attachment 3664339
Hali tuliyokuwa nayo sasa, nchini si ngumu kama tunavyofikilia, ni kwamba tu kuwepo na majukwaa ya kujadiri matakwa ya kiraia and then kwende kwenye Maridhiano.Bwana weee mambo hata hayaeleweki huku , twende tu mpaka tuje tufikie kama Tunisia (Jasmine revolution mwaka 2011)
Wasipo tusikiliza Kuna vocation ya ujinini๐ ๐ndo waje kumsikiliza @Dogoli kinyamkela? Thubutu
Sawa