Legrema2050
JF-Expert Member
- Jun 5, 2021
- 606
- 708
Nimecheka sana aiseeNilimuona mmoja mwenye hizo sifa,ila sasa yuko mbali kwelikweli,mbinguniii huko ndani ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana aiseeNilimuona mmoja mwenye hizo sifa,ila sasa yuko mbali kwelikweli,mbinguniii huko ndani ndani
Wewe uko Arusha sehemu Gani bibieAmenifurahisha tu anataka Mu Arusha.
Mengine acha apambane mwenyewe.
Sipo Chuga nipo Tunduma vijijiniWewe uko Arusha sehemu Gani bibie
Hahahaha!! Una bei gani? Nikutafutie fastaSawa kila la kheri
Ukipata wawili nipasiemo mmoja.
Nasubiri mleta mada akizidiwa anipasie... huyo wa malipo baki nae tuHahahaha!! Una bei gani? Nikutafutie fasta
Kaa na Utamu wako km huna hela!Nasubiri mleta mada akizidiwa anipasie... huyo wa malipo baki nae tu
Ni Bora zaidi😘Kaa na Utamu wako km huna hela!
Wewe Unaweza ukaomba mchumba kama alivyofanya huyu dada?Aiseee sijui wamekutendea nini mpaka ukaamzisha uzi wa kuwafukuza
Kumbe hakuwa ndugu yako ila wewe mwenyewe. 😁Nipewa hii na ndugu yangu nisaidie kupost yeye ana 30 sitaki midomo .
Ukipata Mume mwenye vigezo hivi vyote, huyo mume ndiye anaekuja kuolewa.Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia
Vigezo serious awe handsome wa kiasi .
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Awe anafanya kazi kaajiriwa .
Elimu Anizidi mimi na Diploma .
Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani.
Asiwe mzubavu awe anachangamkia maisha .
Sipendi mtu mkimya sana nasipendi wambeya .
Akiwa arusha ni raha zaidi.
Kama ni mikoa mingine awe anauwezo wakuja Arusha.
Asiwe mchungu .
Na asiwe mchoyo na asipende kuweka siri .
Jingine asiwe mlevi ., awe anahofu ya Mungu.
Awe mkristo ila asiwe anasali kwenye makanisa ya kilokole nataka haya makanisa yanayotambulika , katoliki , lutheran , anglikana ila haya makanisa yasiotambulika awali hapana.
Nipewa hii na ndugu yangu nisaidie kupost yeye ana 30 sitaki midomo .
Kalale .
kwaiyo wasifu wake ni miaka 30 tu mbona mengine husemi?Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia