Mimi natafuta mchumba nipo serious

Mimi natafuta mchumba nipo serious

0712505049 nibeep fanya kama umekosea namba ntajiongeza
Screenshot_20220410-101913.jpg
 
Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia
Vigezo serious awe handsome wa kiasi .
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Awe anafanya kazi kaajiriwa .
Elimu Anizidi mimi na Diploma .
Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani.
Asiwe mzubavu awe anachangamkia maisha .
Sipendi mtu mkimya sana nasipendi wambeya .
Akiwa arusha ni raha zaidi.
Kama ni mikoa mingine awe anauwezo wakuja Arusha.
Asiwe mchungu .
Na asiwe mchoyo na asipende kuweka siri .
Jingine asiwe mlevi ., awe anahofu ya Mungu.
Awe mkristo ila asiwe anasali kwenye makanisa ya kilokole nataka haya makanisa yanayotambulika , katoliki , lutheran , anglikana ila haya makanisa yasiotambulika awali hapana.
Nipewa hii na ndugu yangu nisaidie kupost yeye ana 30 sitaki midomo .
Kalale .
Ukipata Mume mwenye vigezo hivi vyote, huyo mume ndiye anaekuja kuolewa.
 
kwaiyo wasifu wake ni miaka 30 tu mbona mengine husemi?

anachagua mume ye mwenyewe anasifa gan?

asiwe anakimbilia kuchagua sifa za mtu huenda yeye mwenyewe hafanani kuolewa na mwenye sifa hizo
 
Back
Top Bottom