Sasa kama wanaficha maana ya kuziweka nini?Zinafichwa mnooooo
Anamaanisha zilizotengenezwa nje,na kuingizwa ndani,yaani zinazoletwa nchini mwetu,kutoka nchi nyingine.Unaposema bidhaa za nchi nyingine unamaanisha zinazotengenezwa kutumika nje?
Inaandikwa janjajanja nyingiZinafichwa mnooooo
Pacha kwema. Long time asee.Unashangaa expire date hazieleweki siku hizi, wakati imefikia hatua mpaka jinsia za watu hazieleweki!