Mimi ndie member wa jeiefu folamu mwenye nidhamu na utii kuliko wote

Mimi ndie member wa jeiefu folamu mwenye nidhamu na utii kuliko wote

Kwanza nawashukuru wote mlionifikia inbobo na kunitumia jumbe mbalimbali za kunipongeza Kwa kua member mwenye nidhamu na utii kuliko members wengine hapa jukwaani, Hasa Katika kipindi hiki ambacho jukwaa limekumbwa na taharuki ya kinidhamu.

Mimi mwehu ndama nimekua nikionyesha Kwa maandishi kwamba nimestaarabika .Maandishi yangu mengi yaliojaa maonyo ya kimaadili na mafundisho ya kiroho, yamewapa members wenzangu waliopotoka tumaini jipya hivyo kuwafanya waendelee kuchati Kwa matumaini kama wagonjwa wa ukimwi.

Ndugu wanajukwaa, naendelea kuwakaribisha kwangu Kwa nasaha muhimu za kimaisha ,dondoo za mahusiano lakini kubwa kabisa ni upatanisho WA moja Kwa moja na Mmiliki wa dunia ndugu Lucifer Yule mwovu Shetani. !!!
Kujisema wewe mwenyewe una nidhamu si nidhamu.
 
Back
Top Bottom