Nmelia sana mkuu, mpaka wamama wa mtaani wameniletea uji wa ulezi πInasikitisha zaidi
InasikitishaMbaga Jr ni likitu likubwa hivi, Ndo mana mashabiki zangu wanatumia sign zangu kama inasikitisha sana, kamsemee kwa babaake nk
u u u u u unasemaaaaaπ π π π nimekumbuka kitu aseeeMbaga Jr ni likitu likubwa hivi, Ndo mana mashabiki zangu wanatumia sign zangu kama inasikitisha sana, kamsemee kwa babaake nk π
Kitu gn πu u u u u unasemaaaaaπ π π π nimekumbuka kitu aseee
nilicho kiandika hapo juuπKitu gn π
Kirudie tena cjakiona πnilicho kiandika hapo juuπ
umeanza kujikanaπ, IMbaga Jr ni mmoja tuu, epuka matapeli.
Hao wengine n mashabiki wangu
Kujikana wapumeanza kujikanaπ, I
Itafahamika Tu maamae
πKirudie tena cjakiona π
Hayaπ
Nilijua psalm103 ni ID yako shekhee..kumradhKujikana wap
Kujisema wewe mwenyewe una nidhamu si nidhamu.Kwanza nawashukuru wote mlionifikia inbobo na kunitumia jumbe mbalimbali za kunipongeza Kwa kua member mwenye nidhamu na utii kuliko members wengine hapa jukwaani, Hasa Katika kipindi hiki ambacho jukwaa limekumbwa na taharuki ya kinidhamu.
Mimi mwehu ndama nimekua nikionyesha Kwa maandishi kwamba nimestaarabika .Maandishi yangu mengi yaliojaa maonyo ya kimaadili na mafundisho ya kiroho, yamewapa members wenzangu waliopotoka tumaini jipya hivyo kuwafanya waendelee kuchati Kwa matumaini kama wagonjwa wa ukimwi.
Ndugu wanajukwaa, naendelea kuwakaribisha kwangu Kwa nasaha muhimu za kimaisha ,dondoo za mahusiano lakini kubwa kabisa ni upatanisho WA moja Kwa moja na Mmiliki wa dunia ndugu Lucifer Yule mwovu Shetani. !!!
mkuu wapi nimejisifia?Acha sifa
Usimsemee hivo dada active yupo activeππ au sio
una maana gani?Hakuna Mwehu wa kumtumia Mwehu Pongezi bwana!!!?