Mimi ndoa ilinipotezea muda wangu, iliniacha na Maumivu na kilema cha Maisha yangu

Mjomba kambona nilimfahamu sana, alikua mtu poa sana, kifo chake kilitushtua sana hasa sisi tuliokaa nae mitaa ya forest morogoro.
 
Aisee hatari sana nimeifuatilia hii kitu kimya kimya, kweli duniani kuna mateso
 
Mh Inatisha,Hivi haya mambo yapo kweli au.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…