Mimi ni binti mwenye Diploma ya Community Development, nina uhitaji sana wa ajira

Mimi ni binti mwenye Diploma ya Community Development, nina uhitaji sana wa ajira

Ibrahim daud

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
609
Reaction score
524
Habarini viongozi,

Nina umri miaka 24. Naishi ARUSHA naishi na mama yangu pekee toka nikiwa mdogo mpk sasa
Elimu yangu ni DIPLOMA OF COMMUNITY DEVELOPMENT.

Nawaomba sana msaada wa kupata AJIRA ya aina yoyote na popote pale Tanzania hii tuweze kujikwamua mimi na MAMA YANGU
 
Naona hajajielezea Mana wanajua wanaume walivyo kwa wanawake. Anatumia body weapon.
Kuna mpaka maarifa ya power of pussy. Get what you want from man using your vagina not by being a prostitute.
Kama hawajui kuitumia utashangaa na wanajua value yao ya muda ,waza why na muda ama umri wake akauweka. Anajua right time ambao anapata high traffic ya wahitaji. So anacheza game vizuri mno. Ukimuongelesha tu anaonyesha ana shida kubwa kinyama so atakayeisovu ata win her heart.
Na ke Kama hajakupenda first time Basi Wala maneno yako hayawezi kumfanya akakupenda hata unampo vitu anakudharau kuwa wewe umejiona kuwa you aren't self enough to win her until you apply external force, that's what their heart register.

All in all mwanaume anapoteza game mbele ya mwanamke, naombeni msaidieni
 
Nenda Kweye Tawi lolote la CRDB kawaombe kazi ya freelancer ukawe unafungua account... Maana kipind hiki wanapita sana mashulen kufungulia wanafunzi account za benk kwa ajili ya mikopo ya chuo...
Utalipwa kutokana na idadi ya account utakazoweza kufungua na uhakika kama ukiuelewa mfumo huwezi shindwa kutoka na 300K kwa mwezi maaa pia huwa wana bonus na pia baada ya muda unaweza pewa mkataba...
Hakuna kitu chepesi dunian mwanzo mgumu kila sehemu... Kapambane

All the best
 
Back
Top Bottom